Siwezi kukimbia,,,,ila ni nani alikudanganya wayahudi ni wapinga Kristo?? Unaweza kuta hata wewe ni miongoni mwa walio katika mission ya mpinga Kristo bila kujijua,,,,,,,,wayahudi sio wakristo ila wanaplay role kubwa na ya kuzingatia katika kupitisha,,kuenea na kufanikiwa Ukristo........Na bado wanabaki kuwa watu wa muhimu na maalum katika heshma ya Ukristo.......Ref WARUMI 12:13-36
Ukiielewa hii mistari itakusaidia kuelewa kwa undani kwa nini Wakristo wa kweli wana mafungamano ya dhati na wayahudi.......
Wapinga Kristo wakubwa ni wale wanaosema,,,,,,,Yesu ni binadamu,,,Yesu alioa,,,,Yesu sio Mungu,,,,Yesu hakufa msalabani,,,,Yesu hakufufuka na conspiracy theory nyingine zisizo na mashiko zinazofanana na hizi...............
Sijaweka huo mstari hapa maana ni mrefu sana.Kama utapenda pitia uelewe baadhi ya vitu vya msingi kuhusu wayahudi na wakristo.
Sisi tunajua siku nyingi sana kwamba Wayahudi wengi sio Wakristo......ila unatakiwa ujue kwamba wapo wayahudi Wakristo pia ambao kwa idadi yao Huwezi wahesabu kwa siku tatu au nne ukawamaliza........ila sisi wayahudi kuwa Judaism sio tatizo kwetu maana ni Ndugu zetu na hawajawa walivyo kwa bahati mbaya...Mstari unaeleza....
Zaidi wayahudi kuzidi kuichukua nchi yao mtaa kwa mtaa sio bahati mbaya ila ndio Wakati utaendelea tu na baadae kila mmoja ataelewa nini maana ya hayo yote.