Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Sana...nimechekaa...eti tumboniHahaha muongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana...nimechekaa...eti tumboniHahaha muongo
Hii mada nimeipenda maana imenikumbusha enzi za kipaimara hili swali tulishindwa kupata jibuSana...nimechekaa...eti tumboni
Kwa wakati ule ni ngumu kulijua...Hii mada nimeipenda maana imenikumbusha enzi za kipaimara hili swali tulishindwa kupata jibu
Hata saivi nawaza Roho ni kitu kisichoonekana ila tunakihisi uwepo wake wengine hudhani roho ni moyoKwa wakati ule ni ngumu kulijua...
Hawajui...ila Roho ni sehemu ya ndani ya mwanadamu inayokutanika na Mungu Yohana 4: 24Hata saivi nawaza Roho ni kitu kisichoonekana ila tunakihisi uwepo wake wengine hudhani roho ni moyo
Roho ni kitu katika maisha ya mwanadamu ambacho kinampa uwezo wa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu.Hawajui...ila Roho ni sehemu ya ndani ya mwanadamu inayokutanika na Mungu Yohana 4: 24
Roho na Nafsi hapo inakuwaje?Hawajui...ila Roho ni sehemu ya ndani ya mwanadamu inayokutanika na Mungu Yohana 4: 24
Nafsi ni ''kiumbe kinachopumua''Roho na Nafsi hapo inakuwaje?
Hiyo sio roho ni moyoRoho kama roho inakaaaga tumboni karibu na sifongo mkuu.
Roho ni mjumiiko wa imani ya moyo,akili na mawazo katika mtizamo.salam wan jf
kwa wenye uwezo wa kureason naomba kupewa maana halisi ya neno roho na inamuingiliano gani na akili?
na je viumbe vyote vina roho??
Tuanzie hapo kwenye neno "viumbe" kwa maana nyingine mada yako inatakiwa kujadiliwa kiimani kwani unapozungumzia "viumbe" maana yake kuna "muumba" aliyeviumba ambaye kwa neno la jumla wanamwita Mungu. Kabla hatujaenda mbele, chagua mada yako ijadiliwe kwa imani ipi maana kuna imani nyingi kila moja ikiwa na mtazamo tofauti kuhusu "roho".salam wan jf
kwa wenye uwezo wa kureason naomba kupewa maana halisi ya neno roho na inamuingiliano gani na akili?
na je viumbe vyote vina roho??
Hakuna aliyesema yupo deep spirutually...Cc Donatila
Cc Demiss
Naona mnagoogle definition za roho na quotes za bible..mnatupanga hapa kwamba mpo deep spiritually...
Nimekuelewa .... sasa niambie roho ikiondoka inarudi tena ktk shahawa na kuendelea na maisha? Je hii ndio inaelekea kwenye life after death? Kwa maana hii roho zinazunguka tu katika miili milele na milele. Je inaweza pia hii roho ikaingia katika mnyama au lazima iingie kwa binadamu tu?ROHO NI NINI
Basi ili tuweze kuifahamu roho inatupasa tutoe mifano ya vitu tunavyoishi navyo, Roho siyo sehemu ya mwili kama vile jicho au mkono au sikio nk, yalivyokuwa ni sehemu ya mwili lakini roho inayo mahusiano ya kiathari (cause and effect) na mwili mfano kama mtu atukanwe vibaya hapo moja kwa moja atapata maumivu katika roho na anaweza kutoka machozi kwa uchungu na utaona hayo machozi ni dalili kuwa mwili umepata athari halikadhalika kama mtu apewe mateso makali ya mwili athari itaenda kwenye roho kiasi kwamba mwili unakuwa si mahali pazuri kwa roho kukaa na hivyo roho huondoka na hatua hiyo tunaiita kifo, pia mtu anapofanya Ibada kwa vitendo (kimwili) anaipa athari za kiibada hiyo roho yake.
.