Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

Humu ndani kuna asiyeamini uwepo wa Mungu, akimbilie wapi kwa maombi? Naona maisha ni kanuni tu!ukishikwa shati piga kipepsi cha kufa mtu na utasonga mbele. Roho ya kukataliwa inatengenezwa tu na wajanja. Kila ukipita inasikika harufu ya choo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jr[emoji769]
 
Hebu nifafanulie hapo mwisho tafadhali
Jr[emoji769]
 
Mkuu Mshana Jr,hiyo 'Nakuombea....!!!' naihitaji sana kutoka kwako napitia kipindi kigumu mkuu
 
Rafiki mpendwa pambana na hali yako, usimwache muumba wako hata nukta moja.. Hakuna binadamu aliyezaliwa na mwanamke anaweza kusafisha nyota yako ikasafishika milele.. HAKUNA.. hakuna mganga atakayeweza kukupa mafanikio yasiyo na maagano HAKUNA... hakuna Pete ya bahati isiyokosa mawaa HAKUNA... jaribu kuivua siku moja uone shughuli yake...

#MshanaJr
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Jr[emoji769]
 
Mkuu naomba hiyo link hapa chini ya kitunguu saumu

Jr[emoji769]
 

Jr[emoji769]
 
#MshanaJr
 
True ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu weee jamaa mimi nipe dawa ya kuruka na ungo usiku na kuvinjari kwa nyumba za watu usiku hii itanisaidia kuepuka vibaka

Niko tayari kwa gharama yeyote ile nakupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…