Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Mbona haya mambo hadi wazungu wanayajua na wanayasema kila siku.There is no life after death, ukifa umekufa.
Ponda Mali kufa kwaja.
Hapo ndipo ulipolikoroga sasaAnayeweza kurudi baada ya kufa ni Yesu Kristo pekee. Huyo ndio mwenye uwezo wa kujifufua. Mwanadam akiondoka ameondoka. Kinachofuata anawekwa mahabusu akisubiri siku yake ya hukumu.
Yesu ndio mwenye hizo nguvu za kujifufuaHapo ndipo ulipolikoroga sasa
Bila shaka umesikia kutoka kwa kina Mathayo na Luka? Au Marko na Yohana?Yesu ndio mwenye hizo nguvu za kujifufua
Walitumia nguvu za Yesu kuwafufua watu wengine. Sio mtu aliyekufa ndio atumie nguvu za Yesu kujirudisha yeye mwenyewe.Bila shaka umesikia kutoka kwa kina Mathayo na Luka? Au Marko na Yohana?
Michango yako huwa inanipa mashaka kuhusu imani yako kwa Mungu
Tunapewa bure tunatoa bureImani imevamiwaView attachment 3446083
Kwa nini unafikiri mimi napaswa kuamini mkuu?Michango yako huwa inanipa mashaka kuhusu imani yako kwa Mungu
Kwa hiyo hapa tutamkuta Mafwele na boss wake?4. Sehemu ya Wenye Dhambi Waliojaa Makosa
Hawa walikamilika katika uovu, waliishi maisha ya uasi wa kudumu.
Roho zao hazitafufuliwa tena, bali zitafungwa milele kwenye giza lisilo na tumaini.
Kwaiyo Wewe kipimo cha kitu kua ukweli au uongo ni mpaka mzungu akisema???Mbona haya mambo hadi wazungu wanayajua na wanayasema kila siku.
Heee π Sasa Wakijua na kusema wazungu ndio nini ππMbona haya mambo hadi wazungu wanayajua na wanayasema kila siku.
I wonder πKwaiyo Wewe kipimo cha kitu kua ukweli au uongo ni mpaka mzungu akisema???
Kwahiyo hao wazungu ndio reference kwako katika maisha yako?Mbona haya mambo hadi wazungu wanayasema kila siku.