Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
- Thread starter
-
- #41
Anayeweza kurudi baada ya kufa ni Yesu Kristo pekee. Huyo ndio mwenye uwezo wa kujifufua. Mwanadam akiondoka ameondoka. Kinachofuata anawekwa mahabusu akisubiri siku yake ya hukumu.
Ni ajabu hizi ni comments za mtu mmoja tena katika uzi wake mmoja!Walitumia nguvu za Yesu kuwafufua watu wengine. Sio mtu aliyekufa ndio atumie nguvu za Yesu kujirudisha yeye mwenyewe.
Sasa hizo comment umeshindwa kuzielewa mkuu?? Mbona zina eleweka kabisa?Ni ajabu hizi ni comments za mtu mmoja tena katika uzi wake mmoja!
Yaani anayeweza kufufuka ni Yesu Kristo pekee na mwanadamu akiondoka akaondoka, at the same time kuna wanadamu waliwafufua wanadamu wengine! Au hao waliofufuka nao ni akina Yesu Kristo pia!?
Tutaendelea kuwaelewa tu akina Kiranga maana hoja zao zina mantiki, ninyi mnapuyanga na kujichanganya sana.
Yaani:Sasa hizo comment umeshindwa kuzielewa mkuu?? Mbona zina eleweka kabisa?
Chai imepokelewa, sasa vitumbua vya moto watapata wapi?
Inasikitisha sana mkuuKwaiyo Wewe kipimo cha kitu kua ukweli au uongo ni mpaka mzungu akisema???
Amesema ni YESU anaweza kujifufua.Yaani:
Comment 1:
Yesu pekee ndiye anayeweza kufa akafufuka mwanadamu hawezi kufufuka
Hawakujifufua. Maelezo yake yapo clear mkuu.Comment 2:
Kuna wanadamu walikufa wakafufuka
Kufufuka wanafufuka ila mmoja tu ambae ni YESU ndo mwenye hizo nguvu za kujifufua, wengine ni mpaka wafufuliwe.Bado unatarajia na akili timamu kabisa nikuelewe? Si urahisishe tu kwa kusema Yesu na wanadamu wote wanaweza kufufuka halafu kama kuna uniqueness kwenye ufufuko wa Yesu ndipo utilie mbwembwe zako sasa ili kupunguza mashaka na maswali miongoni mwa hadhira unayoihubiria. Ninyi ndio huwa mnapunguza idadi za waumini kwenye nyumba za ibada
Story za, kitoto, hakuna, ushahidi, ni, Mambo ya, dhahania tu, mtu mweusi, anawaza kufa akaishi, peponi! Mzungu, mchina, wanatengeneza, pepo hapa, hapa, duniani, iphone, machine za, kufulia, magari LC 300,lincoln navigator, Lexus, nk1. Sehemu ya Wenye Haki
Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu.
Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima.
2. Sehemu ya Wenye Dhambi Wasiohukumiwa Duniani
Hawa ni wale waliotenda maovu lakini hawakupata hukumu wakati wa maisha yao.
Roho zao zinawekwa kwenye mateso makubwa, zikitazamia hukumu ya mwisho.
3. Sehemu ya Waliouliwa kwa Dhuluma
Roho hizi zinawekwa sehemu ya kutoa malalamiko na ushuhuda juu ya mateso yao.
4. Sehemu ya Wenye Dhambi Waliojaa Makosa
Hawa walikamilika katika uovu, waliishi maisha ya uasi wa kudumu.
Roho zao hazitafufuliwa tena, bali zitafungwa milele kwenye giza lisilo na tumaini.
Tunaokolewa kwa imani na sio kwa kufuata sheria.
Tunapewa bure tunatoa bure
Nilicho eleza ni hichi wala sio hicho ulicho andika:Yaani:
Comment 1:
Yesu pekee ndiye anayeweza kufa akafufuka mwanadamu hawezi kufufuka
Comment 2:
Kuna wanadamu walikufa wakafufuka
Bado unatarajia na akili timamu kabisa nikuelewe? Si urahisishe tu kwa kusema Yesu na wanadamu wote wanaweza kufufuka halafu kama kuna uniqueness kwenye ufufuko wa Yesu ndipo utilie mbwembwe zako sasa ili kupunguza mashaka na maswali miongoni mwa hadhira unayoihubiria. Ninyi ndio huwa mnapunguza idadi za waumini kwenye nyumba za ibada
Hujamsoma hapo kasema "mwanadamu akiondoka ameondoka"? Au hiyo statement nayo inahitaji upako kuelewa, tusio na upako inatuchanganya!?Amesema ni YESU anaweza kujifufua.
Hawakujifufua. Maelezo yake yapo clear mkuu.
Kufufuka wanafufuka ila mmoja tu ambae ni YESU ndo mwenye hizo nguvu za kujifufua, wengine ni mpaka wafufuliwe.
Mbona yupo clear kabisa.
We sema mambo ya imani ni kwa waamini, wasioamini ni hadithi.
Story za, kitoto, hakuna, ushahidi, ni, Mambo ya, dhahania tu, mtu mweusi, anawaza kufa akaishi, peponi! Mzungu, mchina, wanatengeneza, pepo hapa, hapa, duniani, iphone, machine za, kufulia, magari LC 300,lincoln navigator, Lexus, nk
Wa Afrika, ni kutumia tu kama kupe
Kama asipofufuliwa, tofauti na YESU ambaye anaweza tu kujifufua akiamua.Hujamsoma hapo kasema "mwanadamu akiondoka ameondoka"? Au hiyo statement nayo inahitaji upako kuelewa, tusio na upako inatuchanganya!?
Wewe unaibadilisha statement ilivyotolewa ili ikae unavyotaka wewe na uielezee unavyotaka, lakini ukiiacha ilivyo maana yake ni dhahiri. Hizi saundi ndo huwa zipo sana nyumba za ibada, kichaka ni imani.Kama asipofufuliwa, tofauti na YESU ambaye anaweza tu kujifufua akiamua.
Hahaha, mbona ipo straight tu mkuu.
Imani sio kichaka kwa wanaoamini. Human brain haipo fixed na logic na ndipo imani inapochukua nafasi.Wewe unaibadilisha statement ilivyotolewa ili ikae unavyotaka wewe na uielezee unavyotaka, lakini ukiiacha ilivyo maana yake ni dhahiri. Hizi saundi ndo huwa zipo sana nyumba za ibada, kichaka ni imani.
Yes, na ukiwa na imani huto doubt.Uki doubt jambo hutakiwi kuuliza badala yake unaambiwa uwe na imani.
Exactly. Hivyo ndivyo imani inavyofanya kazi. Unaamini, no logic. Unaamini kuwa YESU alitembea juu ya maji, huapply logic, doubts na kuanza kuuliza maswali nje ya imani.Yaani uki doubt au kuuliza unaonekana una imani haba na umetekwa na shetani.
Hayana majibu nje ya imani. Na hili ndo tatizo. Kutaka mambo ya kiroho kufumbuliwa kwa logic.Lakini ukweli ulio wazi mambo ya imani yana maswali mengi sana yasiyo na majibu,
Ni kupokea na kuamini sio kupokea na kukubali.isipokuwa tu hakuna uhuru wa kufikiri na kuchalenji, ni kupokea na kukubali tu.
Kwanza hizi habari za Mungu zingekuwa ni za kweli basi mzungu asingeruhusu ngozi nyeusi ifahamu kwa urahisi. Wangejipendelea wao peke yao kumjua Mungu ili waende mbinginu wao peke yaoHeee 😅 Sasa Wakijua na kusema wazungu ndio nini 😂😂
Acha bangi wewe!1. Sehemu ya Wenye Haki
Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu.
Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima.
2. Sehemu ya Wenye Dhambi Wasiohukumiwa Duniani
Hawa ni wale waliotenda maovu lakini hawakupata hukumu wakati wa maisha yao.
Roho zao zinawekwa kwenye mateso makubwa, zikitazamia hukumu ya mwisho.
3. Sehemu ya Waliouliwa kwa Dhuluma
Roho hizi zinawekwa sehemu ya kutoa malalamiko na ushuhuda juu ya mateso yao.
4. Sehemu ya Wenye Dhambi Waliojaa Makosa
Hawa walikamilika katika uovu, waliishi maisha ya uasi wa kudumu.
Roho zao hazitafufuliwa tena, bali zitafungwa milele kwenye giza lisilo na tumaini.
Tunaokolewa kwa imani na sio kwa kufuata sheria.
Tunapewa bure tunatoa bure
Hii si kweli mkuu, umetumia mawazo yako au umepewa muongozo?Wazungu ni reference kwasababu kila unacho kitumia sasa hivi kwenye kila nyanja yako ya maisha wamegundua wao. Wazungu wana ufahamu mkubwa kuliko viumbe wote duniani. Wanajua mambo mengi sana. Sayansi, teknoloji, philosophy, tafiti, dini, hadi michezo wazungu ndio wanaviendeleza.