Roho za mauti: Ni kitu gani hiki?

Roho za mauti: Ni kitu gani hiki?

Na kwenye mchakato wa kutafuta suluhu ni vema sana kumakinika na zawadi za kupeana kama nguo, vyakula viatu nk.. Vingine vina madhara makubwa kwakuwa vimenenewa roho za mauti..hivyo ni vema kuvitakasa baada ya kuvipokea na kabla ya kuvitumia
 
Msamaha ni nini?

-Msamaha ni kuondoa uchungu wote ulioumbika ndani ya moyo wako kwa hiari yako mwenyewe.

- Msamaha ni kitendo cha kurudisha uhusiano wa awali uliovunjika. Kusamehe ni kumfutia mtu hatia.

Zifuatazo ni faida za kusamehe:-

1.Tunasamehe kwasababu kusamehe ni tabia ya Mungu Tunapaswa kusameheana kwani muasisi wa msamaha ni Mungu mwenyewe na kama Mungu angehesabu maovu yetu nani angesimama?

2.Tunasamehe ili tuweze kusamehewa.
Unapaswa kusamehe kwa faida yako mwenyewe siyo kwa faida ya mkosaji na wewe hebu mwachie Mungu apambane na watesi wako wala usilipe kisasi.

3.Unasamehe ili uwe na amani. Unaposamehe unakuwa unapata amani ya moyo. Mtu ambaye anavumilia uchungu ulioumbika ndani ya moyo na hataki kuachilia fundo hilo lazima litamtesa na atakosa amani ya moyo. Atahangaika na huku uchungu ulioumbika ndani ya moyo ukiendelea kumtafuta.

4.Unasamehe ili uwe na furaha. Kwa kweli ukiangalia watu wanaokataa kusameheana huwa hawana furaha kabisa katika mioyo yao. Kama unaishi katika mahusiano yoyote na mara nyingi huwa watu si wakamilifu basi msamaha ndio kiunganishi chenu ambao utarudisha uhusiano uliopotea

5.Tunasamhe ili tuwe na afya njema
Uponyaji wa kweli unaanzia moyoni. Kama mtu anasamehe kutoka moyoni basi huo ni msamaha wa kweli na ni msamaha unaoongozwa na huruma ya Mungu ndani yake. Watu hawataki kusamehe ndio maana wengine afya zao ni dhaifu. Uchungu ulioumbika ndani ya moyo unaendelaa kuwatafuna.
Usizeeke kabla ya wakati kwa ajili ya kutosamehe watu wengine

6.Kutosawasamehe watu kunakufanya ujikinai wewe mwenyewe.
Unajiona wewe ni mtu ambaye hustahili kuwepo hapa duniani. Utajiona wewe hauna maana hapa duniani utakua unakaa peke yako peke yako.
Huna furaha, amani, upendo. Maisha yako yanakuwa yamejaa sumu na majeraha moyoni ugonjwa umekuwa mkubwa na wewe hutaki kuupatia dawa ya kuuponya na dawa yake ni msamaha tu.

7.Kutokusamhe kunaongeza maadui katika maisha yako.

Jaribu kuangalia katika maisha yako Yule anayesamehe na asiyesamehe nani anakuwa anaongeza maadui?

Utaongeza maadui na utavunja uhusiano na watu hivyo utakua unaishi maisha ya umimi.

Maisha ya binadamu ni maisha yenye uhusiano kama husamehi basi unajitengenezea duniani yako mwenyewe.

8.Kutosamhe kunaleta mapasuko wa kifamilia.

Katika hali ya kawaida jaribu kuangalia katika jamii yako ni familia ngapi zimesambaratika kwasababu ya kutosameheana ?

Kusamehe ni faida kwa kila familia bora inayotaka amani na furaha, mipasuko katika familia itaendela kuwepo kama watu wasiposameheana.

9.Kutosamehe kunaleta unyonge wa moyo yaani huzuni.

Ukiwaangalia watu wengine unawaonea huruma wanaishi maisha ya huzuni wakati
falsafa ya maisha ni furaha hapa duniani.
Tunatafuta kila siku ili tuweze kuwa na furaha. Inuka leo na nenda
kazike hilo jeneza la huzuni na kuwa huru na maisha yako.
Huoni ni utumwa kuwabeba watu moyoni?

10.Kutosamehe kunawafanya watu kukimbia makazi na ofisi zao.

Kwa mfano, watu waliokoseana na hawataki kusamehana huwa wanaishi maisha kama ya paka na panya. Akimuona mwenzake huyo anakuja anakimbia kama yuko nyumbani anakimbia, kama ni njia anabadilisha kabisa ili wasionane na kusalimiana. Unakuta watu wengine wanakimbia kabisa ofisi zao kwasababu ya kutotaka kusameheana. Kwanini uendelea kuishi Maisha Haya ?

Mbarikiwe.
 
[emoji1534][emoji1545]

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Habari mkuu Mshana Jr ? Samahani tena nimetoka nje ya mada, naomba kuuliza.
Mara nyingi Mimi huwa nikikaa peke yangu (penye utulivu usiku wa kuanzia Saa 7) ambako hakuna usumbufu na nikianza ku-meditate masikio yangu husikia kisauti fulani hivi chembamba kikali kama frequence ya redio, " nnnnnnnn,,,"
Je, hiyo ni sahihi au haitakiwi ni-concetrate kwenye hiyo sauti?

Na niliwahi kukutana na msemo mmoja hivi ukisema, "If you want to find the secrets of the universe, think interns of energy, frequency and vibration" Nicola Tesla
Kuna uhusiano na maana hiyo?
 
Uko mulemule na maana yake ni kwamba mind yako imesha develop hatua fulani kwenye meditation.. Kuna hizo vibras na sauti nyingine za ndani lakini hatuwezi kuzisikia kwakuwa mind zetu zimezongwa na mengi
 
Mauti ni kifo na kifo ni kikomo cha kuwa(end of existence)! Mauti yapo ya aina nyingi lakini makubwa yapo ya aina mbili
. Mauti ya jumla(mauti ya moja kwa moja)
. Mauti nusu (mauti dhana)
Roho ni kitu kisichokufa bali roho ndani ya mwili ndio huleta uzima au kifo.. Roho ndani ya mwili ni uhai na roho nje ya mwili ni kifo cha mwili...!

Kumbuka mada hizimazishi ya mtu kishirikina
roho ya kukataliwa chanzo na madhila yake
kuna familia zina laana ya asili

Tukiachana na mauti kubwa ile ya roho kutengana na mwili kuna hizi mauti nyingine
Mauti/kifo cha mapenzi
Mauti/kifo cha biashara
Mauti/kifo cha wazo nknk
Unapoandamwa na roho za mauti ambazo zina asili mbili
. Mapito ya maisha
. Matendo ya binadamu

Mambo yako mengi huharibika hakuna kinachosonga, hakuna kinachotimia na hakuna kinachokuletea tija...!
Huna ndoa ama kila ndoa yako haidumu
Huna mtoto mimba zinaharibika
Huna kazi na ukipata haidumu
Huna kipato na ukipata kinaishia kusikoeleweka ama matumizi ya hovyo!
Biashara unazijaribu zinakufa
Mawazo yako mazuri hayatimii lakini kwa wengine wakijaribu inatiki

Familia inaandamwa na mikosi ya kila aina. Magonjwa ajali na vifo visivyoeleweka.

Roho za mauti zinakuwa zimekuandama kila kona na pakutokea hupaoni wala hupajui.

Unapiga picha ya familia yako na ukoo wako ..unapiga picha ya familia nyingine na koo nyingine.. Vimeachana mbali kabisa.. Hujui suluhu na hujui ulipokosea/mlipokosea

Ni katikati ya matatizo yako hayo wanatokea washauri wabaya..washauri wa kukwambia ukasafishe nyota kwa wazee wa 'busara' ama wakakuzindue nknk...Wachache sana wanaweza kukusaidia lakini wengine watazidi kukuongezea matatizo

Roho nyingi za mauti hazisababishwi na washirikina. Nyingi hutokana na sisi wenyewe ... Matendo yetu na hata lugha zetu.. Kuneneana mabaya, kuapizana...nknk

Ugomvi wa ndugu ndani ya familia na ndani ya koo ni mbaya sana..kwasababu hutembea na vizalia ndani ya DNA.. Kuna muunganiko usiokoma..visasi hurithishwa toka kizazi hadi kizazi. Na ubaya wa hivi visasi huzaliwa, hukua na kukomaa na kuzaliana

Kwa ushauri wangu.. Nitoe rai kama wewe ni mmojawapo unayopitia haya.. Angalia familia yako na ukoo wako.. Je kuna mahali wazee wenyu ama wakubwa wenyu walishatofautiana mahali na kuapizana maagano mabaya ya visasi na kuua undugu?

Unaweza ukawa unateseka sasa kumbe makosa yalikuwa ya wengine...Na la muhimu sana wewe uliyenusurika na haya muombe sana Mungu akunusuru usije kuangukia kwenye ugomvi wa ndugu usio na suluhu.. Na wala hata kama mkitofautina msije mkafikia hatua ya kuapizana na kuneneana mabaya.. Mnazalisha roho za mauti na mapepo vitakavyokuja kuwatesa wengine
Msamaha na kutengeneza ni bora kuliko visasi na maagano...TENGENEZA SASA!
Mr naomba kibali nikuone PM kama hutojali
 
Lazima kwanza kurudi kwenye asili na chanzo cha tatizo..kutoka hapo ndio unaweza kupata msingi wa kutatua
Chanzo cha tatizo ambalo Ni la muda mrefu sana unaweza ukawa unajua. Ugumu unakuja jinsi ya kulishughulikia! Naomba ushauri/msaada wako inbox.
 
Karibu huko tutete machache
 
Mauti ni kifo na kifo ni kikomo cha kuwa(end of existence)! Mauti yapo ya aina nyingi lakini makubwa yapo ya aina mbili
. Mauti ya jumla(mauti ya moja kwa moja)
. Mauti nusu (mauti dhana)
Roho ni kitu kisichokufa bali roho ndani ya mwili ndio huleta uzima au kifo.. Roho ndani ya mwili ni uhai na roho nje ya mwili ni kifo cha mwili...!

Kumbuka mada hizimazishi ya mtu kishirikina
roho ya kukataliwa chanzo na madhila yake
kuna familia zina laana ya asili

Tukiachana na mauti kubwa ile ya roho kutengana na mwili kuna hizi mauti nyingine
Mauti/kifo cha mapenzi
Mauti/kifo cha biashara
Mauti/kifo cha wazo nknk
Unapoandamwa na roho za mauti ambazo zina asili mbili
. Mapito ya maisha
. Matendo ya binadamu

Mambo yako mengi huharibika hakuna kinachosonga, hakuna kinachotimia na hakuna kinachokuletea tija...!
Huna ndoa ama kila ndoa yako haidumu
Huna mtoto mimba zinaharibika
Huna kazi na ukipata haidumu
Huna kipato na ukipata kinaishia kusikoeleweka ama matumizi ya hovyo!
Biashara unazijaribu zinakufa
Mawazo yako mazuri hayatimii lakini kwa wengine wakijaribu inatiki

Familia inaandamwa na mikosi ya kila aina. Magonjwa ajali na vifo visivyoeleweka.

Roho za mauti zinakuwa zimekuandama kila kona na pakutokea hupaoni wala hupajui.

Unapiga picha ya familia yako na ukoo wako ..unapiga picha ya familia nyingine na koo nyingine.. Vimeachana mbali kabisa.. Hujui suluhu na hujui ulipokosea/mlipokosea

Ni katikati ya matatizo yako hayo wanatokea washauri wabaya..washauri wa kukwambia ukasafishe nyota kwa wazee wa 'busara' ama wakakuzindue nknk...Wachache sana wanaweza kukusaidia lakini wengine watazidi kukuongezea matatizo

Roho nyingi za mauti hazisababishwi na washirikina. Nyingi hutokana na sisi wenyewe ... Matendo yetu na hata lugha zetu.. Kuneneana mabaya, kuapizana...nknk

Ugomvi wa ndugu ndani ya familia na ndani ya koo ni mbaya sana..kwasababu hutembea na vizalia ndani ya DNA.. Kuna muunganiko usiokoma..visasi hurithishwa toka kizazi hadi kizazi. Na ubaya wa hivi visasi huzaliwa, hukua na kukomaa na kuzaliana

Kwa ushauri wangu.. Nitoe rai kama wewe ni mmojawapo unayopitia haya.. Angalia familia yako na ukoo wako.. Je kuna mahali wazee wenyu ama wakubwa wenyu walishatofautiana mahali na kuapizana maagano mabaya ya visasi na kuua undugu?

Unaweza ukawa unateseka sasa kumbe makosa yalikuwa ya wengine...Na la muhimu sana wewe uliyenusurika na haya muombe sana Mungu akunusuru usije kuangukia kwenye ugomvi wa ndugu usio na suluhu.. Na wala hata kama mkitofautina msije mkafikia hatua ya kuapizana na kuneneana mabaya.. Mnazalisha roho za mauti na mapepo vitakavyokuja kuwatesa wengine
Msamaha na kutengeneza ni bora kuliko visasi na maagano...TENGENEZA SASA!
What if wewe umesamehe lakini mbaya wako hajasamehe?
 
Uko mulemule na maana yake ni kwamba mind yako imesha develop hatua fulani kwenye meditation.. Kuna hizo vibras na sauti nyingine za ndani lakini hatuwezi kuzisikia kwakuwa mind zetu zimezongwa na mengi
Sawa mkuu, na je nikisikiliza hizo sauti kwa njia ya apps zenye hizo frequency ambazo zimetengenezwa, Kuna ambazo nimeziona zimeandikwa 174 Heartz, 285 Heartz, 396 Heartz, 417 Hz, 432 Hz na kuendelea,
Je nikisikiliza hizo zilizotengenezwa nitakuwa sahihi au natakiwa nizisikilize bila visaidizi? (Yaani kupitia sauti za kudownload YouTube )
 
Wewe Mshana wewe!kuna madogo wanakera sana wewe!!!Juzi nimetoka kumtimua dogo hapa kwangu!!Nimempa hela ya nauli aende kazini!matokeo yake kanywa pombe yote tena 70000/= nikampa nyingine kama 50000/= akaondoka kwa kinyongo akaniachia ujumbe kwa maandishi mekundu eti atakuja kulipa kisasi na ataniua mimi na mama watoto halafu atachukua mali zangu zote!!kafika kwake mtoto wake katumbukia kwenye shimo ambalo alilitelekeza kama la choo!mtoto kavunjika shingo sasa yupo ICU Nikaambiwa nisaidie tena kutoa hela la kununua kifaa cha kufunga shingoni ili shingo ikaze nikachangia 70000/=!Dogo pumbavu kazi mikasi na tungi tu!!!!SASA MGOGORO HUU NIKITAFAKARI UNANILETEA MAUZA UZA KIBAO!!!!!!!DOGO SIMTAKI TENA KWANGU AKAE KWAKE KANITIA AIBU SANA!!!KANIVUA NGUO TUSEME!!!
 
Msamaha ni nini?

-Msamaha ni kuondoa uchungu wote ulioumbika ndani ya moyo wako kwa hiari yako mwenyewe.

- Msamaha ni kitendo cha kurudisha uhusiano wa awali uliovunjika. Kusamehe ni kumfutia mtu hatia.

Zifuatazo ni faida za kusamehe:-

1.Tunasamehe kwasababu kusamehe ni tabia ya Mungu Tunapaswa kusameheana kwani muasisi wa msamaha ni Mungu mwenyewe na kama Mungu angehesabu maovu yetu nani angesimama?

2.Tunasamehe ili tuweze kusamehewa.
Unapaswa kusamehe kwa faida yako mwenyewe siyo kwa faida ya mkosaji na wewe hebu mwachie Mungu apambane na watesi wako wala usilipe kisasi.

3.Unasamehe ili uwe na amani. Unaposamehe unakuwa unapata amani ya moyo. Mtu ambaye anavumilia uchungu ulioumbika ndani ya moyo na hataki kuachilia fundo hilo lazima litamtesa na atakosa amani ya moyo. Atahangaika na huku uchungu ulioumbika ndani ya moyo ukiendelea kumtafuta.

4.Unasamehe ili uwe na furaha. Kwa kweli ukiangalia watu wanaokataa kusameheana huwa hawana furaha kabisa katika mioyo yao. Kama unaishi katika mahusiano yoyote na mara nyingi huwa watu si wakamilifu basi msamaha ndio kiunganishi chenu ambao utarudisha uhusiano uliopotea

5.Tunasamhe ili tuwe na afya njema
Uponyaji wa kweli unaanzia moyoni. Kama mtu anasamehe kutoka moyoni basi huo ni msamaha wa kweli na ni msamaha unaoongozwa na huruma ya Mungu ndani yake. Watu hawataki kusamehe ndio maana wengine afya zao ni dhaifu. Uchungu ulioumbika ndani ya moyo unaendelaa kuwatafuna.
Usizeeke kabla ya wakati kwa ajili ya kutosamehe watu wengine

6.Kutosawasamehe watu kunakufanya ujikinai wewe mwenyewe.
Unajiona wewe ni mtu ambaye hustahili kuwepo hapa duniani. Utajiona wewe hauna maana hapa duniani utakua unakaa peke yako peke yako.
Huna furaha, amani, upendo. Maisha yako yanakuwa yamejaa sumu na majeraha moyoni ugonjwa umekuwa mkubwa na wewe hutaki kuupatia dawa ya kuuponya na dawa yake ni msamaha tu.

7.Kutokusamhe kunaongeza maadui katika maisha yako.

Jaribu kuangalia katika maisha yako Yule anayesamehe na asiyesamehe nani anakuwa anaongeza maadui?

Utaongeza maadui na utavunja uhusiano na watu hivyo utakua unaishi maisha ya umimi.

Maisha ya binadamu ni maisha yenye uhusiano kama husamehi basi unajitengenezea duniani yako mwenyewe.

8.Kutosamhe kunaleta mapasuko wa kifamilia.

Katika hali ya kawaida jaribu kuangalia katika jamii yako ni familia ngapi zimesambaratika kwasababu ya kutosameheana ?

Kusamehe ni faida kwa kila familia bora inayotaka amani na furaha, mipasuko katika familia itaendela kuwepo kama watu wasiposameheana.

9.Kutosamehe kunaleta unyonge wa moyo yaani huzuni.

Ukiwaangalia watu wengine unawaonea huruma wanaishi maisha ya huzuni wakati
falsafa ya maisha ni furaha hapa duniani.
Tunatafuta kila siku ili tuweze kuwa na furaha. Inuka leo na nenda
kazike hilo jeneza la huzuni na kuwa huru na maisha yako.
Huoni ni utumwa kuwabeba watu moyoni?

10.Kutosamehe kunawafanya watu kukimbia makazi na ofisi zao.

Kwa mfano, watu waliokoseana na hawataki kusamehana huwa wanaishi maisha kama ya paka na panya. Akimuona mwenzake huyo anakuja anakimbia kama yuko nyumbani anakimbia, kama ni njia anabadilisha kabisa ili wasionane na kusalimiana. Unakuta watu wengine wanakimbia kabisa ofisi zao kwasababu ya kutotaka kusameheana. Kwanini uendelea kuishi Maisha Haya ?

Mbarikiwe.
Kusamehe hakujawahi kuleta furaha ewe mshana tusidanganyane!!!Hivi mtu anakusnichi kwa bosi wako!unafikiri ukisha msamehe ataacha tabia yake???!!!unajidanganya!!unahitajika umakini na hata kupunguza maneno kabisa!!!
 
Sawa mkuu, na je nikisikiliza hizo sauti kwa njia ya apps zenye hizo frequency ambazo zimetengenezwa, Kuna ambazo nimeziona zimeandikwa 174 Heartz, 285 Heartz, 396 Heartz, 417 Hz, 432 Hz na kuendelea,
Je nikisikiliza hizo zilizotengenezwa nitakuwa sahihi au natakiwa nizisikilize bila visaidizi? (Yaani kupitia sauti za kudownload YouTube )
Hizo pia ni sawa lakini cha kutengeneza ni tofauti kabisa na cha asili..
 
Wewe Mshana wewe!kuna madogo wanakera sana wewe!!!Juzi nimetoka kumtimua dogo hapa kwangu!!Nimempa hela ya nauli aende kazini!matokeo yake kanywa pombe yote tena 70000/= nikampa nyingine kama 50000/= akaondoka kwa kinyongo akaniachia ujumbe kwa maandishi mekundu eti atakuja kulipa kisasi na ataniua mimi na mama watoto halafu atachukua mali zangu zote!!kafika kwake mtoto wake katumbukia kwenye shimo ambalo alilitelekeza kama la choo!mtoto kavunjika shingo sasa yupo ICU Nikaambiwa nisaidie tena kutoa hela la kununua kifaa cha kufunga shingoni ili shingo ikaze nikachangia 70000/=!Dogo pumbavu kazi mikasi na tungi tu!!!!SASA MGOGORO HUU NIKITAFAKARI UNANILETEA MAUZA UZA KIBAO!!!!!!!DOGO SIMTAKI TENA KWANGU AKAE KWAKE KANITIA AIBU SANA!!!KANIVUA NGUO TUSEME!!!
Kila jambo lina asili yake huyo dogo msipomsaidia sasa atawaletea shida kubwa mbeleni.. Na ishu ya kumpampa hela ndio maana anafanya hivyo..
 
Asili ya kina baba zangu ni malaya malaya hv!wanazaa watoto na kutelekeza !kwangu mimi ni tofauti kidogo!japo napenda niwe na wake wengi !naona mmoja hanitoshi najali sana wanangu!lakini Dogo ana watatu,wawili katelekeza!!!Alikua hataki kuondoka kwangu eti akae alinde mali zangu!!nikaona uchawi huu nikamtimua akakafanye kazi alee familia yake!yeye hataki!!!kivumbi ndio hapo sasa!!!
 
Back
Top Bottom