Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
1643274420553.png

Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka.

Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika anga za juu mwaka 2015, lakini baada ya kukamilisha safari yake, hakikuwa na mafuta ya kutosha ya kukirejesha duniania na badala yake kilibakia katika anga za juu.

Mtaalamu wa masuala ya anga za juu Jonathan McDowell ameiambia BBC News kuwa itakuwa mara ya kwanza kwa roketi isiyoongozwa kugongana na mwezi.

Lakini anasema athari yake itakuwa ndogo.

Roketi hiyo iliachwa katika obit ya juu miaka saba iliyopita baada ya kukamilisha kazi ya kutuma setilaiti ya hali ya hewa katika safari ya maili milioni.

Ilikuwa ni sehemu ya mpango wa uvumbuzi wa anga za juu wa Bw Musk - SpaceX, ambayo ni kampuni ya kibinafsi ambayo lengo lake kuu ni kuwawezesha binadamu kuishi katika sayari nyingine.
 
Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi!😂
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
 
Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi![emoji23]
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
au hata waseme itaenda kujigonga mwezini [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi!😂
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
Kutokana na Avatar yako mkuu, sina shaka wewe unajua vizuri sana nini kitakachotokea huko😅😅...
 
Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi!😂
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
Mbona watu individuals wanagonga treni au mwendokasi?
 
Kwasababu kisheria hairuhusiwi kuingilia barabara ya treni wanasema hivyo ili ieleweke kuwa mhusika ndie aliefanya makosa na sio treni ila ukiangalia kimantiki zaidi utaona vizuri kipi kiligongwa hapo.
 
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka.

Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika anga za juu mwaka 2015, lakini baada ya kukamilisha safari yake, hakikuwa na mafuta ya kutosha ya kukirejesha duniania na badala yake kilibakia katika anga za juu.

Mtaalamu wa masuala ya anga za juu Jonathan McDowell amesema kuwa itakuwa mara ya kwanza kwa roketi isiyoongozwa kugongana na mwezi.

Lakini anasema athari yake itakuwa ndogo.

Roketi hiyo iliachwa katika obit ya juu miaka saba iliyopita baada ya kukamilisha kazi ya kutuma setilaiti ya hali ya hewa katika safari ya maili milioni.

Ilikuwa ni sehemu ya mpango wa uvumbuzi wa anga za juu wa Bw Musk - SpaceX, ambayo ni kampuni ya kibinafsi ambayo lengo lake kuu ni kuwawezesha binadamu kuishi katika sayari nyingine.
 
Binadamu tunahangaika sana sijui kwanini
Af tunakuja kufa tu kiboya😅 kwa hela za Elon Musk ningetafta malaya wangu 7 wakali sana wa kuinjoy nao life tu huku tukisafiri maeneo tofauti ya ulimwenguni.

Ni kula raha tu maana miundo mbinu ya pesa nishaiweka sawa hela zinaingia hadi nakufa bana nina presha gani?
 
🤣🤣
 
Huwa sijui wanawaza nini hawa watu! Unakuta Mtu kama February marope kashapiga trillion zake hata 20 kwenye mikataba ya mchongo akiwa jikoni kabisa ingekuwa mie kinachofata natafta sababu ya kujiuzulu tu nikale pesa zangu mpaka nakufa. Trillion 1 tu ni pesa ndefu mno sasa imagine ziwe 20 ila unakuta anakomalia vyeo mpaka ana miaka 70 yeye kuhangaikaga tu na CCM 😅😅😅 Utainjoy lini hela zako sasa?
 
Af tunakuja kufa tu kiboya😅 kwa hela za Elon Musk ningetafta malaya wangu 7 wakali sana wa kuinjoy nao life tu huku tukisafiri maeneo tofauti ya ulimwenguni.

Ni kula raha tu maana miundo mbinu ya pesa nishaiweka sawa hela zinaingia hadi nakufa bana nina presha gani?
Ukishakuwa na pesa watu wanakupa ideas ili pesa zitumike, utashawishiwa hata ununue kiwanja mwezini mjenge godown maana kule hakuna bacteria na wadudu waharibifu.
 
Huwa sijui wanawaza nini hawa watu! Mtu kama Rizimoko kashapiga trillion zake hata 20 akiwa jikoni kabisa mie kinachofata natafta sababu ya kujiuzulu tu nikale pesa zangu🤣🤣🤣 ila unakuta anakomalia vyeo mpaka ana miaka 70 yeye kuhangaikaga tu na CCM 😅😅😅 Utainjoy lini hela zako sasa?
Pesa bila power ni tabu tupu. Kwani humuoni Sabaya?
 
Back
Top Bottom