Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

Lakini anasema athari yake itakuwa ndogo.
Aaaaaargh! Sa' hapa ndo ilipoharibu!! Ingedondokea tu huko baarini halafu samaki wote wanageuka kuwa na sumu, baada ya hapo ngoma droo! Haiwezekani wengine mara misamamki ya kukaanga, mara misamaki ya kuchemsha, mara sijui misamaki ya kuoka wakati wengine full tembele na maharage!

Kabla ya yeyote hajaniona mchawi, hebu jiulize mara ya mwisho umekula lini samaki, kenge wewe (sio Kasomi)!!
 
Sasa hapo marope hizo trillion atakazochota atasumbuliwa na nani kama ataondoka kwenye nafasi bila kashfa?
Kama trillion ni za ujanja ujanja si unatafutiwa zengwe tu. Anatumwa mmoja kwanza kukuchokoza hata bungeni kuwa ulifanya ujanja ujanja watu wanaanzia hapo.

Ila ukiwa na power kidogo kuna security kutegemeana na position yako.
 
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka.

Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika anga za juu mwaka 2015, lakini baada ya kukamilisha safari yake, hakikuwa na mafuta ya kutosha ya kukirejesha duniania na badala yake kilibakia katika anga za juu.

Mtaalamu wa masuala ya anga za juu Jonathan McDowell ameiambia BBC News kuwa itakuwa mara ya kwanza kwa roketi isiyoongozwa kugongana na mwezi.

Lakini anasema athari yake itakuwa ndogo.

Roketi hiyo iliachwa katika obit ya juu miaka saba iliyopita baada ya kukamilisha kazi ya kutuma setilaiti ya hali ya hewa katika safari ya maili milioni.

Ilikuwa ni sehemu ya mpango wa uvumbuzi wa anga za juu wa Bw Musk - SpaceX, ambayo ni kampuni ya kibinafsi ambayo lengo lake kuu ni kuwawezesha binadamu kuishi katika sayari nyingine.
Wasisahau kutuonyesha hilo tukio.
 
Af tunakuja kufa tu kiboya[emoji28] kwa hela za Elon Musk ningetafta malaya wangu 7 wakali sana wa kuinjoy nao life tu huku tukisafiri maeneo tofauti ya ulimwenguni.

Ni kula raha tu maana miundo mbinu ya pesa nishaiweka sawa hela zinaingia hadi nakufa bana nina presha gani?
Nguvu za kiume tatzo Lina anzia apo
 
tunaanza wenyewe uchokonozi....siku mwezi ukibaki kipande tutaanza kufunga na kuomba wakati wachawi akina Elon Musk tunacheka nao tu huku...
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Ni Africa tu ndiyo unahitaji kuwa na power kufaidi pesa yako. Huko Duniani kuna vizee hata havijulikani mtaani lakini vina pesa chafu. Ana Yatch yake na miezi yote ya baridi Ulaya anazunguka katika nchi zenye joto.
Huko ulaya si hata kiongozi mkuu wa nchi anatukanwa na shoga wakati anadai haki yake ya kuwa shoga? Embu wajaribu huku Africa? This is Africa........
 
Af tunakuja kufa tu kiboya😅 kwa hela za Elon Musk ningetafta malaya wangu 7 wakali sana wa kuinjoy nao life tu huku tukisafiri maeneo tofauti ya ulimwenguni.

Ni kula raha tu maana miundo mbinu ya pesa nishaiweka sawa hela zinaingia hadi nakufa bana nina presha gani?
Fala we 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom