Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

Mbele ya pesa mingi aisee anachukua yeyote yeye ananame tu [emoji28]
Tajiri mwenye trillion 300 unamkataaje? Kwa hela ya madafu kibongo bongo ni trillion 600 nani anakataa kwa mfano?
 
Aaaaaargh! Sa' hapa ndo ilipoharibu!! Ingedondokea tu huko baarini halafu samaki wote wanageuka kuwa na sumu, baada ya hapo ngoma droo! Haiwezekani wengine mara misamamki ya kukaanga, mara misamaki ya kuchemsha, mara sijui misamaki ya kuoka wakati wengine full tembele na maharage!

Kabla ya yeyote hajaniona mchawi, hebu jiulize mara ya mwisho umekula lini samaki, kenge wewe (sio Kasomi)!!
🤣🤣😅Dah nikajua nimeambiwa mimi kuwa kenge kumbe yeye duh!!!
 
Huwa sijui wanawaza nini hawa watu! Unakuta Mtu kama February marope kashapiga trillion zake hata 20 kwenye mikataba ya mchongo akiwa jikoni kabisa ingekuwa mie kinachofata natafta sababu ya kujiuzulu tu nikale pesa zangu mpaka nakufa. Trillion 1 tu ni pesa ndefu mno sasa imagine ziwe 20 ila unakuta anakomalia vyeo mpaka ana miaka 70 yeye kuhangaikaga tu na CCM 😅😅😅 Utainjoy lini hela zako sasa?
Madaraka matamu asikwambie mtu
 
Halafu wanawake wamenyamaza kimya tu na wao ndo wanaendaga mwezini kila mwezi ngoja wagongewe mwezi wao sijui wataenda wapi
 
Watu wana fuba kiasi kwamba hadi 'mamitambo' yao yanagongana na mwezi...
 
Isije ikagonga wale jirani zetu wa kusadikika (Aliens) wakaja kulipiza kisasi, maana kuna tetesi kuwa wapo huko.
 
Back
Top Bottom