Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
au hata waseme itaenda kujigonga mwezini [emoji23]Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi![emoji23]
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
Kutokana na Avatar yako mkuu, sina shaka wewe unajua vizuri sana nini kitakachotokea huko😅😅...Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi!😂
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
Angalau hivi😂
Kiasi nayafahamu haya mambo.Kutokana na Avatar yako mkuu,sina shaka wewe unajua vizuri sana nini kitakachotokea huko😅😅...
Mbona watu individuals wanagonga treni au mwendokasi?Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi!😂
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
Wala sikatai, avatar yako tu inasemaLugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
Kwasababu kisheria hairuhusiwi kuingilia barabara ya treni wanasema hivyo ili ieleweke kuwa mhusika ndie aliefanya makosa na sio treni ila ukiangalia kimantiki zaidi utaona vizuri kipi kiligongwa hapo.Mbona watu individuals wanagonga treni au mwendokasi?
Af tunakuja kufa tu kiboya😅 kwa hela za Elon Musk ningetafta malaya wangu 7 wakali sana wa kuinjoy nao life tu huku tukisafiri maeneo tofauti ya ulimwenguni.Binadamu tunahangaika sana sijui kwanini
🤣🤣Af tunakuja kufa tu kiboya😅 kwa hela za Elon Musk ningetafta malaya wangu 7 wakali sana wa kuinjoy nao life tu huku tukisafiri maeneo tofauti ya ulimwenguni.
Ni kula raha tu maana miundo mbinu ya pesa nishaiweka sawa hela zinaingia hadi nakufa bana nina presha gani?
Ipo siku ataulipua mwezi wetu huyu tukae gizaniBinadamu tunahangaika sana sijui kwanini
Tutakaa gizani aiseeila binadamu ujuaji mwingi haya sasa wanaenda kuugonga mwezi wetu
Huwa sijui wanawaza nini hawa watu! Unakuta Mtu kama February marope kashapiga trillion zake hata 20 kwenye mikataba ya mchongo akiwa jikoni kabisa ingekuwa mie kinachofata natafta sababu ya kujiuzulu tu nikale pesa zangu mpaka nakufa. Trillion 1 tu ni pesa ndefu mno sasa imagine ziwe 20 ila unakuta anakomalia vyeo mpaka ana miaka 70 yeye kuhangaikaga tu na CCM 😅😅😅 Utainjoy lini hela zako sasa?
Ukishakuwa na pesa watu wanakupa ideas ili pesa zitumike, utashawishiwa hata ununue kiwanja mwezini mjenge godown maana kule hakuna bacteria na wadudu waharibifu.Af tunakuja kufa tu kiboya😅 kwa hela za Elon Musk ningetafta malaya wangu 7 wakali sana wa kuinjoy nao life tu huku tukisafiri maeneo tofauti ya ulimwenguni.
Ni kula raha tu maana miundo mbinu ya pesa nishaiweka sawa hela zinaingia hadi nakufa bana nina presha gani?
Pesa bila power ni tabu tupu. Kwani humuoni Sabaya?Huwa sijui wanawaza nini hawa watu! Mtu kama Rizimoko kashapiga trillion zake hata 20 akiwa jikoni kabisa mie kinachofata natafta sababu ya kujiuzulu tu nikale pesa zangu🤣🤣🤣 ila unakuta anakomalia vyeo mpaka ana miaka 70 yeye kuhangaikaga tu na CCM 😅😅😅 Utainjoy lini hela zako sasa?