Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

Mbele ya pesa mingi aisee anachukua yeyote yeye ananame tu [emoji28]
Tajiri mwenye trillion 300 unamkataaje? Kwa hela ya madafu kibongo bongo ni trillion 600 nani anakataa kwa mfano?
 
🤣🤣😅Dah nikajua nimeambiwa mimi kuwa kenge kumbe yeye duh!!!
 
Madaraka matamu asikwambie mtu
 
Halafu wanawake wamenyamaza kimya tu na wao ndo wanaendaga mwezini kila mwezi ngoja wagongewe mwezi wao sijui wataenda wapi
 
Watu wana fuba kiasi kwamba hadi 'mamitambo' yao yanagongana na mwezi...
 
Isije ikagonga wale jirani zetu wa kusadikika (Aliens) wakaja kulipiza kisasi, maana kuna tetesi kuwa wapo huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…