Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Mwanaume mwembambaa anaweza kumgonga mwanamke mnene na mimba juu.Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi!😂
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mara na viumbe vinavyoishi mwezini vilipize kisasi navyo vitume bomu duniani.
Kwahiyo unaona wote humo serikalini ni wajinga? Uiibie serikali halafu utoke kizembe? Watakufyatua hutaamini.Sasa hapo marope hizo trillion atakazochota atasumbuliwa na nani kama ataondoka kwenye nafasi bila kashfa?
Kwamba hizo hela zipo kwenye akaunti ya benki kazi yako ni kuzichota tu?Tajiri mwenye trillion 300 unamkataaje? Kwa hela ya madafu kibongo bongo ni trillion 600 nani anakataa kwa mfano?
Eeh mkuu hata kama benki kuna trillion 10 tu ni ndogo hizo?Kwamba hizo hela zipo kwenye akaunti ya benki kazi yako ni kuzichota tu?
X d
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka.
Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika anga za juu mwaka 2015, lakini baada ya kukamilisha safari yake, hakikuwa na mafuta ya kutosha ya kukirejesha duniania na badala yake kilibakia katika anga za juu.
Mtaalamu wa masuala ya anga za juu Jonathan McDowell ameiambia BBC News kuwa itakuwa mara ya kwanza kwa roketi isiyoongozwa kugongana na mwezi.
Lakini anasema athari yake itakuwa ndogo.
Roketi hiyo iliachwa katika obit ya juu miaka saba iliyopita baada ya kukamilisha kazi ya kutuma setilaiti ya hali ya hewa katika safari ya maili milioni.
Ilikuwa ni sehemu ya mpango wa uvumbuzi wa anga za juu wa Bw Musk - SpaceX, ambayo ni kampuni ya kibinafsi ambayo lengo lake kuu ni kuwawezesha binadamu kuishi katika sayari nyingine.
Watu wanawaza kuruka juu ww u unawaza kula samaki???[emoji16][emoji16]Aaaaaargh! Sa' hapa ndo ilipoharibu!! Ingedondokea tu huko baarini halafu samaki wote wanageuka kuwa na sumu, baada ya hapo ngoma droo! Haiwezekani wengine mara misamamki ya kukaanga, mara misamaki ya kuchemsha, mara sijui misamaki ya kuoka wakati wengine full tembele na maharage!
Kabla ya yeyote hajaniona mchawi, hebu jiulize mara ya mwisho umekula lini samaki, kenge wewe (sio Kasomi)!!
Kuna lugha inazungumzwa sana kwenye ajali za garimoshi (Train), mfano:-Huko itakuwa sio kuugonga mwezi bali ni kuingia kwenye mwezi kwa fujo! Navyojua vitu vinavyogongana viwe hata vinalingana ukubwa ama vinazidiana kiasi kwa jinsi mwezi ulivyomkubwa tuseme unagongwa na roketi![emoji23]
Lugha stahiki hapo tuseme roketi inaangukia mwezini sio kuugonga mwezi.