Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki.
=====
Mtafiti wa Kikanda wa Amnesty International kwa Afrika Mashariki, Roland Ebole akiwa katika mahojiano leo Aprili 19, 2025 yaliyoangazia ukandazamaji unaofanywa kwa wapinzani katika nchi za Afrika Mashariki kutoka kituo cha Citizen TV amesema;
Tutaweza kubadilisha hali hii kama wananchi wataungana na kusema hapana kwa uminywaji wa demokrasia unaofanyika pamoja na kashikashi wanazopata wapinzani. Akigusia yaliyotokea kwa Kiza Besigye, na sasa kwa Lissu mpaka alipotea na kisha magereza kuwajuza Watanzania kuwa amehamishwa bila kufata taratibu, bila wananchi kuungana na kupinga unyanyasaji huo basi tutaendelea kuona haya yakitokea.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Katika mahojiano hayo alikuwepo pia Mwanaharakati kutoka Uganda, Agather Atuhaire, pamoja na Wakili wa Haki za Binadamu, Tito Magoti, ambao nao hawakuwa tofauti na Ndg. Ebole.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025