Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Leo mmeanza kwa wahindi, kesho mtaenda kwa wachagga.Dhambi ya ubaguzi haina mwisho. Kama kuna ufisadi katika wahindi (kama kulivyo na ufisadi kwa weusi na wazungu) tuuseme ufisadi huu, na wala si kabila au ethnicity ya mtu.
Nauliza wahindi anayewawezesha nani? Kuna wahindi wangapi kwenye wizara zetu? Ardhi? kwenye benki za serikali? Shirika la Nyumba?
Mbona tunawasema wahindi tu na hawa wanaowawezesha hatuwasemi?
Fisadi ni fisadi tu, hata awe m-Klingo.
Mkuu Fernandes. Wasikubabaishe hao wakina Sikonge. Ni bigots ambao hawana hata aibu kumsifia Hitler! Hana anachokuzidi. Wewe, yeye,, mimi, sisi sote ni watanzania. Hakuna mwenye haki zaidi au pungufu ya mwengine. Hata usingekuwa muajiriwa. hata ungekuwa huna kazi au bilionea. Wewe ni mtanzania na hakuna wa kukuondolea hilo! Jivunie ulikotoka kama vile sote tunavyojivunia bila kusahau kinachotuunganisha.
Wakina Sikonge hawatusemei wamatumbi wote. Si leo, si jana wala si kesho kutwa!
Amandla.......
Ndugu zangu, tuache malumbano yasiyokuwa na maana. mafisadi ni wengi na sio wahindi tu. Kitu cha kuchangaza je serikali yetu iko wapi? iko likizo? hakuna wa kumkemea mwingine. Kila kitu kinakwenda mzobe mzobe. Je waliokula mabilioni ya wafadhili -Ministry of Natural Resources nao pia ni wahindi - Tunaimba wa wimbo wa Good Governance - Good governance - kiko wapiiiii? - I need your assistance in attaching the donor report (it is in PDF) - mtalia machozi ......... Watanzania tunaliwa left right, top and bottom ....
Ndugu zangu, tuache malumbano yasiyokuwa na maana. mafisadi ni wengi na sio wahindi tu. Kitu cha kuchangaza je serikali yetu iko wapi? iko likizo? hakuna wa kumkemea mwingine. Kila kitu kinakwenda mzobe mzobe. Je waliokula mabilioni ya wafadhili -Ministry of Natural Resources nao pia ni wahindi - Tunaimba wa wimbo wa Good Governance - Good governance - kiko wapiiiii? - I need your assistance in attaching the donor report (it is in PDF) - mtalia machozi ......... Watanzania tunaliwa left right, top and bottom ....
Sikonge. Wewe ni bigot na racist. Watu wenye mawazo kama wewe ni kidonda katika jamii yetu. Yaani kweli unatamani vita vya rangi ili ukawachome wahindi? Wahindi ambao hata nusu milioni hawafiki katika jamii ya watu zaidi ya milioni 35? How pathetic can you get? Hauna tofauti na wakina David Dukes, Enoch Powell na wengine. Tofauti yenu ni rangi lakini chuki inayowatawala ni ile ile.
Kama nilivyosema awali, usijidanganye kuwa unawakilisha mawazo ya watanzania wote.
Amandla.........
Rejea kichwa cha habari juu hapo kwa makini na tafakuli ya hali ya juu sana jitahidi kujadili mada si kwa chuki ila kwa lengo la kutawa kuondoa ukoloni mambo leo ukiangalia tangu mkoloni yupo wahindi ndio walikua wafanyabiashara kubwa ktk nchi yetu tena wengine hata kushika nyadhifa kubwa ktk serikali ndio matokeo yake leo kwa kua wageni wameingizwa ktk serikali basi wanajua jinsi gani waweza kula la vipofu ambao ndio sisi wazawa mipango yote ya kuhujumu nchi inapangwa na wasio wazawa ukiangalia SUBASH PATEL ana maskendoo kibwena lkn serikal kwa kua ni ndio wafadhli wao ktk kampeni za uchaguzi wa chama cha majambazi hawana ubavu wa kumshtaki au kumchukulia hatua mtu yoyote yule cha msngi sisi wazawa wenyewe tukubali mabadiliko hata kama kufa tuwe tayari kwa ajili ya vizaz vyetu vijavyo leo wakwepa ushuru mkubwa TRA wahindi lkn kwakua wamewashila MADIRECTOR na vigogo kuwapa share ktk makapuni yao hakuna wa kuwasumbua ndio maana leo mtu anapewa msamaha wakodi kuingiza magari ya kifahari mpaka 100 je tutafika hivi ? ikiwa sis wazawa hatupati chance kama hizo tunaendelea lini?mikopo mikubwa yote wanapewa wao makabachor mpk makampun yao wanaagiza wafanyakazi kutoka india kwa wingi je wanazawa watafanya kazi wapi nyie migration mnaotoa working permit kweli mnawathamini watanzania wenzenu vipi ajira zitaongezeka ikiwa kazi ambazo zinafanywa na watanzania wanaletwa wahindi tena hawana elim yoyote serikali iko wapi hapa kama si rushwa na ufisadi na kuogopa watakosa pesa za kampeni naenda katembee makampuni makubwa ya wahindi ndo utajua hilo. ndio maana Idd amin aliwatimua uganda wakaja tanzania tukawapokea kwa mikono yote roho inauma sana lkn hatuna jinsi waliokula pesa za EPA wote wahindi na aliyetoa mchongo ni hao hao wahindi ikifika uchaguzi kila duka la mhindi wanchangishana pesa kuwapa chama cha majambazi.
rejea kichwa cha habari juu hapo kwa makini na tafakuli ya hali ya juu sana jitahidi kujadili mada si kwa chuki ila kwa lengo la kutawa kuondoa ukoloni mambo leo ukiangalia tangu mkoloni yupo wahindi ndio walikua wafanyabiashara kubwa ktk nchi yetu tena wengine hata kushika nyadhifa kubwa ktk serikali ndio matokeo yake leo kwa kua wageni wameingizwa ktk serikali basi wanajua jinsi gani waweza kula la vipofu ambao ndio sisi wazawa mipango yote ya kuhujumu nchi inapangwa na wasio wazawa ukiangalia subash patel ana maskendoo kibwena lkn serikal kwa kua ni ndio wafadhli wao ktk kampeni za uchaguzi wa chama cha majambazi hawana ubavu wa kumshtaki au kumchukulia hatua mtu yoyote yule cha msngi sisi wazawa wenyewe tukubali mabadiliko hata kama kufa tuwe tayari kwa ajili ya vizaz vyetu vijavyo leo wakwepa ushuru mkubwa tra wahindi lkn kwakua wamewashila madirector na vigogo kuwapa share ktk makapuni yao hakuna wa kuwasumbua ndio maana leo mtu anapewa msamaha wakodi kuingiza magari ya kifahari mpaka 100 je tutafika hivi ? Ikiwa sis wazawa hatupati chance kama hizo tunaendelea lini?mikopo mikubwa yote wanapewa wao makabachor mpk makampun yao wanaagiza wafanyakazi kutoka india kwa wingi je wanazawa watafanya kazi wapi nyie migration mnaotoa working permit kweli mnawathamini watanzania wenzenu vipi ajira zitaongezeka ikiwa kazi ambazo zinafanywa na watanzania wanaletwa wahindi tena hawana elim yoyote serikali iko wapi hapa kama si rushwa na ufisadi na kuogopa watakosa pesa za kampeni naenda katembee makampuni makubwa ya wahindi ndo utajua hilo. Ndio maana idd amin aliwatimua uganda wakaja tanzania tukawapokea kwa mikono yote roho inauma sana lkn hatuna jinsi waliokula pesa za epa wote wahindi na aliyetoa mchongo ni hao hao wahindi ikifika uchaguzi kila duka la mhindi wanchangishana pesa kuwapa chama cha majambazi.
Rejea kichwa cha habari juu hapo kwa makini na tafakuli ya hali ya juu sana jitahidi kujadili mada si kwa chuki ila kwa lengo la kutawa kuondoa ukoloni mambo leo.
ukiangalia tangu mkoloni yupo wahindi ndio walikua wafanyabiashara kubwa ktk nchi yetu tena wengine hata kushika nyadhifa kubwa ktk serikali ndio matokeo yake leo kwa kua wageni wameingizwa ktk serikali basi wanajua jinsi gani waweza kula la vipofu ambao ndio sisi wazawa.
mipango yote ya kuhujumu nchi inapangwa na wasio wazawa ukiangalia SUBASH PATEL ana maskendoo kibwena lkn serikal kwa kua ni ndio wafadhli wao ktk kampeni za uchaguzi wa chama cha majambazi hawana ubavu wa kumshtaki au kumchukulia hatua mtu yoyote yule cha msngi sisi wazawa wenyewe tukubali mabadiliko hata kama kufa tuwe tayari kwa ajili ya vizaz vyetu vijavyo.
leo wakwepa ushuru mkubwa TRA wahindi lkn kwakua wamewashila MADIRECTOR na vigogo kuwapa share ktk makapuni yao hakuna wa kuwasumbua ndio maana leo mtu anapewa msamaha wakodi kuingiza magari ya kifahari mpaka 100 je tutafika hivi ?
ikiwa sis wazawa hatupati chance kama hizo tunaendelea lini?mikopo mikubwa yote wanapewa wao makabachor mpk makampun yao wanaagiza wafanyakazi kutoka india kwa wingi je wanazawa watafanya kazi wapi nyie migration mnaotoa working permit kweli mnawathamini watanzania wenzenu vipi ajira zitaongezeka ikiwa kazi ambazo zinafanywa na watanzania wanaletwa wahindi tena hawana elim yoyote serikali iko wapi hapa kama si rushwa na ufisadi na kuogopa watakosa pesa za kampeni
naenda katembee makampuni makubwa ya wahindi ndo utajua hilo.
ndio maana Idd amin aliwatimua uganda wakaja tanzania tukawapokea kwa mikono yote roho inauma sana lkn hatuna jinsi.
waliokula pesa za EPA wote wahindi na aliyetoa mchongo ni hao hao wahindi ikifika uchaguzi kila duka la mhindi wanchangishana pesa kuwapa chama cha majambazi.
PROPOSED HEADINGRejea kichwa cha habari juu hapo kwa makini na tafakuli ya hali ya juu sana jitahidi kujadili mada si kwa chuki ila kwa lengo la kutawa kuondoa ukoloni mambo leo ukiangalia tangu mkoloni yupo wahindi ndio walikua wafanyabiashara kubwa ktk nchi yetu tena wengine hata kushika nyadhifa kubwa ktk serikali ndio matokeo yake leo kwa kua wageni wameingizwa ktk serikali basi wanajua jinsi gani waweza kula la vipofu ambao ndio sisi wazawa mipango yote ya kuhujumu nchi inapangwa na wasio wazawa ukiangalia SUBASH PATEL ana maskendoo kibwena lkn serikal kwa kua ni ndio wafadhli wao ktk kampeni za uchaguzi wa chama cha majambazi hawana ubavu wa kumshtaki au kumchukulia hatua mtu yoyote yule cha msngi sisi wazawa wenyewe tukubali mabadiliko hata kama kufa tuwe tayari kwa ajili ya vizaz vyetu vijavyo leo wakwepa ushuru mkubwa TRA wahindi lkn kwakua wamewashila MADIRECTOR na vigogo kuwapa share ktk makapuni yao hakuna wa kuwasumbua ndio maana leo mtu anapewa msamaha wakodi kuingiza magari ya kifahari mpaka 100 je tutafika hivi ? ikiwa sis wazawa hatupati chance kama hizo tunaendelea lini?mikopo mikubwa yote wanapewa wao makabachor mpk makampun yao wanaagiza wafanyakazi kutoka india kwa wingi je wanazawa watafanya kazi wapi nyie migration mnaotoa working permit kweli mnawathamini watanzania wenzenu vipi ajira zitaongezeka ikiwa kazi ambazo zinafanywa na watanzania wanaletwa wahindi tena hawana elim yoyote serikali iko wapi hapa kama si rushwa na ufisadi na kuogopa watakosa pesa za kampeni naenda katembee makampuni makubwa ya wahindi ndo utajua hilo. ndio maana Idd amin aliwatimua uganda wakaja tanzania tukawapokea kwa mikono yote roho inauma sana lkn hatuna jinsi waliokula pesa za EPA wote wahindi na aliyetoa mchongo ni hao hao wahindi ikifika uchaguzi kila duka la mhindi wanchangishana pesa kuwapa chama cha majambazi.