Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahindi dunia nzima ndio mababa wa ufisadi ni wataalamu wakubwa wa rushwa na fraud, kwanza wanakuwa upande mkubwa wa serikali na mwisho wakishaijua serikali wanaanza kuitafuna, iddi amini alishayaona hayo na ndio kisa cha kuwatimua,
ukifika botswana hawa jamaa wameshaingia kwenye system ila bado hawajafikia pale kwenye stage ya ufisadi lakini kwa sasa ndio wameshika almost njia zote za uchumi
Nyumba za msajili asilimia 99 wanazimiliki (WAHINDI &WAARABU) wao hapo mjini DSM!!!!Napenda kuchukua nafasi kuwauliza watanzania wenzangu je tutayumbishwa na hawa wahindi mpaka lini?maana kila kukicha kashfa zote kubwa wao ndio ring leader,na mambo haya hayakuanza leo kama mnakumbuka enzi za CHAVDA katutapeli akakimbia Tanzania katuacha mikono mtupu,sasa kuna Rostam,Andy Chande,Somaia,Manji je nani ambaye anawalinda?natunasikia wengine wametoka huko kwao wamekuja kama wawekezaji bila capital,huu upuuzi utaisha lini?
Kituko, please acha vituko mkuu. Idd Amini alivyowatimua nchi yake ndiyo ilipata maendeleo au iliacha kuyumba?! Na huko duniani kwingine unakokusema, je ni kule tu ambako kuna Wahindi lakini hamna maendeleo tunayoyahitaji (au kuwa chanzo cha haya malalamiko), au ni kule ambako kuna Wahindi lakini maendeleo yanaonekana?! Kama huko waliko lakini kuna maendeleo, ni nani anayesababisha maendeleo?
Kitulacho kinguoni mwetu. Ma DPP, ma CAG, ma Rais na wanao sign mikataba kwa niaba yetu sisi Watanzania ndiyo chanzo kikubwa cha kudumaa kwetu. Wengi wao wanaongozwa na tamaa na wengine ni dharau au unafiki. Angalia tu swala linalomhusu Mramba, - kusamehe kampuni ya kigeni kulipa kodi kwa miaka 99. Hili linatoka kwa mtu apendaye nchi yake na wajukuu zake kweli?!!
Nakubaliana kiasi fulani na wewe ila naomba ktk kujadili kwetu hapa tuepuke insticts za kuwabagua maana hata kwetu weusiii kuna mafisadi wa kutisha. na kwa taarifa yenu ni kwamba hawa wenzetu wa barahindi wanafanya ufisadi wao kwa kushirikiana na waafrika au watanzania wenyewe. kama tuliwakaribisha jikoni sisi wenyewe kwa nini tunalalamika sasa???
TUANZE UPYA
Wahindi hawafiki hata 2% ya idadi ya Watanzania, watatuyumbishaje bila ya kuwaruhusu?
Kwa kila muhindi mmoja anayetuyumbisha kuna watanzania angalau watano wanaoruhusu hilo, kwa nini tuwaseme wahindi tu?
It depends on how you look at it. Wewe unaangalia aliyewaruhusu wakati sie wengine tunafikiri kumwondoa yeyote, YEYOTE anayetuyumbisha. Mchangiaji wa kwanza katukumbusha kuhusu historia; lazima tuanzie mahali.
ni kama Mtikila alivyo wa galvanize wananchi against Wahindi
Vipi aisee kwani Watanzania wenye asili ya Kihindi sio wananchi?
Mimi naona hii habari ya kuwaandama wahindi inakuwa motivated na racism. Ni kama Hitler alivyo wa galvanize Wajerumani against Wayahudi, ni kama Mtikila alivyo wa galvanize wananchi against Wahindi, ni kama Idd Amin alivyowatimua Wahindi. Wahindi ni easy target kwa mtu asiyetaka kuchambua mambo kwa undani, tatizo ni kubwa kuliko wahindi, tatizo linaanza na watanzania weusi wenyewe wanaowaruhusu wahindi.
Kama hatutakuwa waangalifu tutarudia alichofanya Idd Amin, kuwafukuza Wahindi halafu tukagundua matatizo yetu ni makubwa kuliko wahindi, kwamba matatizo yetu yanaanza na sisi wenyewe.
Badala ya kuwashikia mabango watu wa makundi fulani katika mtindo wa xenophobia, tuzishikie bango tabia fulani, ziwe kwa wahindi au wazalendo, na wote wenye tabia hizi tuwalaani kuwamulika na kuwapatiliza.
Ukiwalundika wahindi wote katika kundi hili unakuwa mbaguzi wa rangi tu, huna tofauti na makaburu.
Wahindi mafisadi hawawezi kupata vibali vya biashara na ushawishi wa kisiasa kama hakuna watanzania weusi wanaowawezesha, badala ya kuangalia matawi ya tatizo (wahindi) tuangalie mzizi wa tatizo (w3anaowawezesha).
Mmarekani na Mwingereza wanawabagua watu wenye asili ya arabia kwenye airport zao, maana top five ya terrorists ni.....
There are many ways to deal with problems. Guantánamo for instance 😉
Sio vigumu kuwatambua associates wa hawa mapapa
Nyumba za msajili asilimia 99 wanazimiliki (WAHINDI &WAARABU) wao hapo mjini DSM!!!!
Je nayo hii ni halali au kwa kuwa tuu wananguvu ya pesa kuwahonga watumishi wa umma (NHC, mashirika yote ya serikali yenye nyumba)...
hili naloo vp jamanii? tuendelee kupanga sinza, ubungo, mmala, kimara, kibamba, tegeta, bunju kwa bei juu za kodi na usafiriii????