ndugu, hapa hatupo kwenye ubaguzi wa rangi, na hata hivyo, kama mtu huyo wa rangi ni fisadi, bora abaguliwe. ulishawai kuona wapi muhindi masikini kule kariakoo? unaweza kuwalinganisha na wabongo weusi? hapana,kwenye kazi zao kama ulishawai kufanya ofisini nao, wanaongea kihindi kitupu, hamna lugha ya sisi wabongo kueleweka. wana dili za siri sana. na wanapatiana dili wao kwa wao tu ndio maana wanapendeleana kwa kila kitu. kama ni ubaguzi wao wa kwanza,wahindi ndo wabaguzi wa kwanza. sasa siss weusi tukitaka kuongea, basi kwasababu sisi ndo wengi,tunaambiwa tusiwe wabaguzi.
kama kuna mtu alishawai kufanya ofisi moja na wahindi(mfano kwenye maofisi yao makubwa kule mikocheni,etc). mimi ni lawyer, nilishawai kufanya nao kazi, nilikuwa natengwa, madili yao mengi wanaongea kihindi, kwasababu ukiyajua tu, wamekwisha.
Tumeoa au kuolewa na mataifa mbali mbali je kwa karne ambazo tumeishi na hawa ndugu lini umewaona wakijichanganya na watu wengine, Nani amewahi kushawishiwa aingie jamatini maana dini nyingi zinatafuta wafuasi je huko jamatini kuna nini. Tukiwa wa kweli ndugu zetu ni wabaguzi sana kama ilivyo huko kwao india kwenye Tabaka za kibaguzi.Kwa hiyo mimi siamini kuwa waswahili ndo wabaguzi naamini kuwa wahindi ni wabaguzi na wanajibagua wenyewe.