Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Dogo ana Pesa mwacheni atambe. Kweli Mungu hapokei rushwa kijana shule hana ila ana pesa. Wazazi wote tunatamani hivyo mweeee.
 
Daaahhh watz tuache wivu jamani mweeehh! Mpeni hongera zake pale mtu anapo deserve kupewa hongera zake mweeeeh!
 
Huyu Tandale boy mbona anafanya mambo ya upeo mkubwa-hapa lazima Zari anatumia exposure yake kumuweka Tandale boy juu-before we know it tutakuja stukia Diamond ni international icon
behind any successfull man there is a woman
 
Umaarufu bwana, gari yenyewe hata mvuto haina kabisa. Kuna magari yanapendeza sana hata kwa kutazama tu kwa macho. Lakini anyway....ni pesa zake, anaamua atakacho mwenyewe.
Fikra za kimaskini zitakuua wewe.....wewe hata baiskeli ya kusingiziwa huna
 
Haya Endelea Kusubiri ilo Rozi Rozi la Instagram maana limetumwa tangia tarehe 15 tuna expect tarehe 7 itakuwa ishafika na ku clear ndani ya siku 7 kwahiyo tutaiona tarehe 14 mwezi huu barabarani.
 
Dah jamaa povu unalotoa latosha kuosha magari yote ya diamond na zari.. Au ndo mapovu yamekuzidia baada ya role model wako wemasepetu kuwa hana gari hata moja la kuosha?
Sina Povu kwa huyo Poyoyo wenu anaowaweka mjini kwa kumuanzia sredi za kitoto humu.
 
Bora mie naeshinda kijiweni kuliko wewe mwanamme na mambupu yananing'inia unapewa kazi ya kusifia wanaume wenzako mtandaoni,ondoa njaa kichwani wewe ipo siku atakuja kukuumbua kama dimpoz.
 
A fool and his money get a lot of publicity.

Albert Bernstein.
 
kipendacho roho kaka..Diamond ana nyumba na viwanja zaidi ya 30 Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…