Roma ana matatizo gani? Kila anayekuwa rafiki yake lazima amgeuke

Acheni Majungu jamanii.....

He has a family..
 
Anaingiza uchama kwenye sanaa.
 
Akitekwa anaisingizia serikali,anasahau tabia zake za kuzurumu zinaweza pia kumponza[emoji51]
 
Wabongo kwa majungu na uchonganishi ni kipaji chao,hata mtu asiyekujua atajifanya anakujua ukimuuliza atakwambia nae alisikia watu wanasema,
Kama mleta mada alivyofanya hana uhakika na alichokitoa ila anasema za kunyapia nyapia, na wengine wakaliunga na kulaumu bila kuwa na uhakika
 


Hamia kenya sasa

True mkuu ndoo maana bongo hata aje nani viwanda na maendeleo kwa ujumla tutayasikia kwenye radio,wabongo wote mama yao mmoja kwa unafiki
 

Ni kweli kabisa hapa naona watu wengi wameshambulia upande mmoja tu bila kujua chanzo na hiyo ishu yote ikoje mm binafsi sijui chochote kuhusu kama wamegombana ila hata mahakamani watu wanaruhusiwa kujitetea sio kwa hizo hukumu zinazoshushwa
 

Siku zote Ununio mkabala na Mahaba Beach huwa haimuachi Mtu salama Kitabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…