Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaingiza uchama kwenye sanaa.mwanzo alikuwa rafiki sana na jose mtambo akamtosa akidai n mlevi kumbe kisa ni show alikuwa anapokea pesa akiahidi kwenda naye ila wapi. Akafuata kala jeremiah huyu mpaka harusi yake alikuwa msanii wa pekee aliyehudhuria jamaa naye pia kamchinjia baharini dayna nyange pia, juzi juzi kamchinjia baharini moni centralzone na sasa za kunyapia yeye na stamina wameishagombana hivi huyu jamaa anakosea wapi
Usimuamini Mtz na hasa yule anaonekana yuko real!Mbona anaonekana yupo Real sana.!!
Habari ya mwaka mpya mkuuROSTAM imevunjika tena?
Na hapo ndio lilipo tatizo la vijana wa karne hii! Kama hujawahi kupigwa, jaribu Business Partnership!Nilimsikiiza Moni maelezo yake nikapata jibu moja tu, "ubinafsi na tamaa ya pesa" ndiyo tatizo la Roma.
Akitekwa anaisingizia serikali,anasahau tabia zake za kuzurumu zinaweza pia kumponza[emoji51]mwanzo alikuwa rafiki sana na jose mtambo akamtosa akidai n mlevi kumbe kisa ni show alikuwa anapokea pesa akiahidi kwenda naye ila wapi. Akafuata kala jeremiah huyu mpaka harusi yake alikuwa msanii wa pekee aliyehudhuria jamaa naye pia kamchinjia baharini dayna nyange pia, juzi juzi kamchinjia baharini moni centralzone na sasa za kunyapia yeye na stamina wameishagombana hivi huyu jamaa anakosea wapi
Nahisi labda alimzulumu hela ya kutekwa ndo wakagombana na MoniDogo wa watu walitekwa pamoja akawakataza kuzungumzia swala kisha yeye akatoka kivyake
True
Machale
Hamia kenya sasa
True mkuu ndoo maana bongo hata aje nani viwanda na maendeleo kwa ujumla tutayasikia kwenye radio,wabongo wote mama yao mmoja kwa unafikiWabongo kwa majungu na uchonganishi ni kipaji chao,hata mtu asiyekujua atajifanya anakujua ukimuuliza atakwambia nae alisikia watu wanasema,
Kama mleta mada alivyofanya hana uhakika na alichokitoa ila anasema za kunyapia nyapia, na wengine wakaliunga na kulaumu bila kuwa na uhakika
Wabongo kwa majungu na uchonganishi ni kipaji chao,hata mtu asiyekujua atajifanya anakujua ukimuuliza atakwambia nae alisikia watu wanasema,
Kama mleta mada alivyofanya hana uhakika na alichokitoa ila anasema za kunyapia nyapia, na wengine wakaliunga na kulaumu bila kuwa na uhakika
mwanzo alikuwa rafiki sana na jose mtambo akamtosa akidai n mlevi kumbe kisa ni show alikuwa anapokea pesa akiahidi kwenda naye ila wapi. Akafuata kala jeremiah huyu mpaka harusi yake alikuwa msanii wa pekee aliyehudhuria jamaa naye pia kamchinjia baharini dayna nyange pia, juzi juzi kamchinjia baharini moni centralzone na sasa za kunyapia yeye na stamina wameishagombana hivi huyu jamaa anakosea wapi
Hahaaaaa yaani kati ya comment hii kibokoKumbe ni mpuuzi