Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Hakuna cha j3, Ruge aseme aliwakuta wapi madogo???Kwahiyo Ruge anawajua watekaji...Haya ngoja tusubili hiyo jumatatu..
Mkuu hapa Roma alinifumbua macho ya akili.Nilistuka hata mie nliposikia ruge katajwa aisee naona game sasa si ya kitoto tena
Nlipata mstuko na Roma alikuwa anasema bila kuficha anamshukuru ruge I was ruge? How mbona boss wake wa tongwe sio ruge.....nikasema kuna picha kubwa nyuma ya paziaMkuu hapa Roma alinifumbua macho ya akili.
Nikupongeze bure kukosoa bila kutumia lugha ya kukejeli. Huu ndiyo utu na heshima kwa watu wote.= tusubiri
Yaani mkuu ile utekaji hata mtoto wa std7 anaweza akawazidi akili....Bashite hivi anadhani bado yuko koromije?
Huyu mwisho wake ni mbaya sana. Kajitengenezea maadui ndani ya chama na nje ya chama. Time will tell. Huyu anaivuruga sana nchi yetu chini ya mgongo wa Jasoro Paramanindo MarindaBashite hivi anadhani bado yuko koromije?