Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye

Tatizo waTz wengi hawataelewa kama ukweli umezungumzwa kama Bashite hata husishwa moja kwa moja hapo ndo tutakapo kuwa tunakosea,
Better kama tutakuwa tumefungua mioyo kupokea habar kama zitakavyokuja, wether kuna kiashiria cha Bashite kuhusika ama la! Kikubwa maelezo yanyooke
 
Issue ni kamba Tanzanians are professional hypocrites, hata atajwe mtekaji watu wataishia kusikitika na maneno ya chini chini.
 
Kwa unafiki wetu hata viongozi hawawezi kujua nini tunapenda na nini hatupendi, wakifanya jambo jema we need to them we are appreciating, wakifanya utumbo inabidi tuwaoneshe by action kuwa hili hatujapendezwa nalo, lakini kwa unafiki huu tutaburuzwa hadi tujiny.......
 
Namshauri ROMA akae kimya tu!maana watanzania wote tuko kimya tu!

kati ya watu 50mil waliomajasiri ni watatu tu
TUNDU LISSU,G,LEMA na Zito!!!!
 
Aangalie mwenyewe usalama wake asije akaongea kufurahisha mashabiki halafu uhai wake ukawa mashakani


Uhai ni bora kuliko maneno ya kufurahisha watu
Watu wanahitaji ukweli na kitu kitakacho furahisha ni bora ufe ukisimamia ukweli.
 
Hawezi kutaja kihivyoooo, kwa sababu za kiuchunguzi. Ataelezea tu mpango wao na walio nyuma yake ulivyokwenda. Au na wale wa ngada pia si mnawajua au!?
 
Hii story nasikia imepangwa, ameshaambiwa maneno ya kusema na wale watu wa Black Suit..

Expectation is different from reality!!
 
Viva Roma Viva.....

Ukisikiliza huo wimbo Roma amejitoa mhanga.....anasema leta defenda..leta wagambo..leta wajeda nichinjeni mkanitupe kwenye daraja la mkapa....

anasema nipige risasi ya utosi...si ndo nidhamu ya utawala?

Anasema nipe kesi nitaimba ndani ya gereza.

Ila pia anasema nyinyi ndo mmenituma...mko tayari kuniteteaaaa?

Mwanzoni kabisa mwa wimbo alisema kuwa ameshapigwa sana mkwara na jumbe za vitisho....Nafikiri sasa ndo kakutana na reality...

Kwa wimbo huo na kama kweli ni falsafa na itikadi yake basi tutarajie kuwa atasema ukweli mtupu tayari kwa lolote...naamini mtu huwezi kuimba strong message kwa mzaha tu..maana state is a monster...according to Marxist's.
 
Nahisi kama ni utekaji unafanana na ule mwingine , kwa hiyo huenda bado ni........anafanya haya.
 
nahisi uliwahi kuugua uendawazima AU akili yako kuku ana afadhali.
Niliwahi kuugua kichaa miaka 25 iliyopita.....

Hiyo ishu ya Roma mimi mwenyewe nategemea aseme ukweli wote ulivyokuwa Lakini mmmh..ngoja baadae tusikilizie itakuwaje
 
Ukweli utadhihirika leo mkuu..ngoja tusubirie maneno ya huyu Mwanaharakati!
 
Namshauri ROMA akae kimya tu!maana watanzania wote tuko kimya tu!

kati ya watu 50mil waliomajasiri ni watatu tu
TUNDU LISSU,G,LEMA na Zito!!!!
Aah mkuu zitto mtoe,alikesha bungeni kuogopa kulala sero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…