ROMA CATHOLIC INA MPAKA MAFUVU YA MASHAIDI WA KALE NYIE WASABATO MNA NINI?

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,565
Reaction score
2,966
Roman Catholic imeanzia kale sana, tofauti na hawa wanaojibagaiza kutoka kanisa la kwanza huku wakiwa hawana ushahidi wowote! zaidi ya kuwa na Biblia kubwa kama kitanda. Anyway tuachane na hayo

hapo juzi Tulifanya sherehe kubwa ya mtakatifu Agatha wa sicily. Huyu Bi dada alikuwa mtu na nusu kwa jinsi alivyokuwa thabiti kwenye Iman, ukisoma historia yake utagundua hapa Duniani kuna watu Original na watu copy. hii hapa chini fuvu lake likirejeshwa.
 
Zinduka wewe..!..Fuvu linapatikana popote yalipo Makaburi na Kesi za Kufukuliwa Makaburi zipo nyingi tu Mtaani huwezi ukalithibitisha ni la yupi..

Bado unaamini..ulaghai ...wa ki kale kabisa ...- Kwamba heshimu/abudu.kikombe hiki..ndiyo alinywea Maji Mtakatifu Mathias..kilikutwa juu ya Kaburi lake-....?!!!!Kina someka :-Made in Amboni-....hata hauhoji ni vipi Amboni Iko Tanga-Tanzania..na Mtakatifu ni wa Ethiopia na alizikwa huko????!?????
 
Siku hizi league ya Wasabato na waroma imehamia hadi kwenye mafuvu? Kazi kweli kweli.
 
In the church now. Tena live
View attachment 3654731

Hizo ni rituals kwa mgongo wa kuwakumbuka wafu kwa kisingizio cha deep rooted history.
Na wala hazina faida yoyote kiuhalisia katika kutatua shida za Kibinadamu hapa Duniani..
Ni upuuzi kuamini eti utapona ugonjwa kwa kugusa fuvu la fulani....na ajabu waliopata huo uponyaji ni simulizi tu..hawapo.Wa Leo akigusa haponi ..anaambiwa hana Imani/Ni ndogo!!!?
 
Hata Farao wa Misri ana historia ya kale sana na miili yao ipo hadi leo, kwani wao ni kanisa la kweli?
 
sawa lakini sio kila Fuzu litakuwa na miujiza kaa Fuvu la Mt Agatha
 
Kuna sehemu yoyote biblia imehimiza kuwe tuyakumbatie hayo mafuvu ya WAGANGA WA TIBA ASILI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…