ndio maana nikaja naSabato ndo jina ambayo waumini wake wanaishi maisha marefu sana according tu study
Ukitaka kuamini ilo zunguka kwa makanisa yao wana wazee wengi kulko dini nyingne yyte dunian
Dini ya sabato inafundisha waumini wake jinsi ya kujitunza na jinsi ya kula vizuri
Mimi ni RC
Sijaelewa🤔Sabato ndo jina ambayo waumini wake wanaishi maisha marefu sana according tu study
Ukitaka kuamini ilo zunguka kwa makanisa yao wana wazee wengi kulko dini nyingne yyte dunian
Dini ya sabato inafundisha waumini wake jinsi ya kujitunza na jinsi ya kula vizuri
Mimi ni RC
Wasabato ndo jini pekee ambayo waumini wake wanaishi maisha marefu so kua na heshima
Ayo mafuvu na damu ya papa ni uchawi tu