ROMA CATHOLIC INA MPAKA MAFUVU YA MASHAIDI WA KALE NYIE WASABATO MNA NINI?

Sabato ndo jina ambayo waumini wake wanaishi maisha marefu sana according tu study

Ukitaka kuamini ilo zunguka kwa makanisa yao wana wazee wengi kulko dini nyingne yyte dunian


Dini ya sabato inafundisha waumini wake jinsi ya kujitunza na jinsi ya kula vizuri

Mimi ni RC
 
Wasabato ndo jini pekee ambayo waumini wake wanaishi maisha marefu so kua na heshima
Ayo mafuvu na damu ya papa ni uchawi tu
 
Sijaelewa🤔
 
Jamen muwaache wafu wapumzike kwa aman cyo mnaanza kuyachezea mafuvuvu Yao😒😟
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…