Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Aseme mara ngapi?NI HAYO TU WALIMTENDEA?AFUNGUKE YOTE ASIONE AIBU ILA UMMA UTAMBUE UPUMBAVU WAO
NI HAYO TU WALIMTENDEA?AFUNGUKE YOTE ASIONE AIBU ILA UMMA UTAMBUE UPUMBAVU WAO
Familia yake utalea wewe?Hapo na yeye anafeli bora awataje kabisa kama anawajua ili kama bwai iwe bwai
CCM mkiizeeka mnakuwaga wachawi🐼
Wakati Chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe au?
Ila wewe jamaa wakati Fulani una akili mbaya sana.🐼
Wakati Chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe au?
Haya yalisemwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chadema Dr SlaaIla wewe jamaa wakati Fulani una akili mbaya sana.
Kwani alipangiwa mda maalumu wa kusema? Nyie watekaji mna laanaKwanini kaamua kusema leo? Apige tu kimya maisha yaendelee ilishapita miaka mingi.
Muulize baba yako JK anajua.🐼
Wakati Chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe au?