-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,806
Inaumiza sana
Dr Slaa alishafafanua namna Chadema wanavyotupana Mahaba beach UnunioMuulize baba yako JK anajua.
Acha ukorofi kaka.Kwanini kaamua kusema leo? Apige tu kimya maisha yaendelee ilishapita miaka mingi.
Kumbe wew jaman huna akili hata moja,km wanatekana si vyombo vya ulinzi vilete evidence maana ndivyo vinamamulaka wa kulinda raia na mali zao🐼
Wakati Chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe au?
Vipi Roma hakufanyiwa kama walivyomfanya Boniface Mwangi wa Kenya!wakuu
======
Mwanamuziki na mwanaharakati maarufu nchini Tanzania, Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana.
Hilo umwambie Dr Slaa siyo mimi 😁Kumbe wew jaman huna akili hata moja,km wanatekana si vyombo vya ulinzi vilete evidence maana ndivyo vinamamulaka wa kulinda raia na mali zao
Legacy ya Magufuri katika utawala wakewakuu
======
Mwanamuziki na mwanaharakati maarufu nchini Tanzania, Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana.
Historia haifi .Kwanini kaamua kusema leo? Apige tu kimya maisha yaendelee ilishapita miaka mingi.
Jiheshimu🐼
Wakati Chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe au?
Alisema boss wenu Dr Slaa 🐼Jiheshimu
Zile źilikuwa hasira za kupokonywa ton̈ge mdomoni.Alisema boss wenu Dr Slaa 🐼
Wewe ni mchawi🐼
Wakati Chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe au?
Mtu mwenye hasira ndio huongea ukweli bwashee 😂😂Zile źilikuwa hasira za kupokonywa ton̈ge mdomoni.
Labda Dr SlaaWewe ni mchawi
Hawa tatzo ni mihemko tu wala hawafuatilii mamb wanaon ufahari kuplay victim mindset ili watu wawahurumie waone wanaonewa, na hata kuchanganua mambo hawawez wameshatekwa kihisia na kifikra......wao ni kupayuka kila mtu akigusa upande wao, yani hawashtuki kwa nn hzo habr zinaletwa nyakati hizi?🤦🏿♂️Haya yalisemwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chadema Dr Slaa
Labda kama huwa hufatilii kauli za viongozi wako hapo Chadema 😁