Roma Mkatoliki akumbushia alivyotekwa na mambo aliyofanyiwa

Amesema waliyomteka ni kina nani au stori tu zinaendelea
Maana wote tunajuwa alitekwa
Je alitekwa na nani!
Na nani aliagiza utekaji huo kwake

Ova
 
Vipi Roma hakufanyiwa kama walivyomfanya Boniface Mwangi wa Kenya!
Maana hao jamaa ngao yao ni kuwa f*ra wanaowateka ili wasijefunguka huko kitaa.
 
Legacy ya Magufuri katika utawala wake
 
Haya yalisemwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chadema Dr Slaa

Labda kama huwa hufatilii kauli za viongozi wako hapo Chadema 😁
Hawa tatzo ni mihemko tu wala hawafuatilii mamb wanaon ufahari kuplay victim mindset ili watu wawahurumie waone wanaonewa, na hata kuchanganua mambo hawawez wameshatekwa kihisia na kifikra......wao ni kupayuka kila mtu akigusa upande wao, yani hawashtuki kwa nn hzo habr zinaletwa nyakati hizi?🤦🏿‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…