Ukiwa na hasira unaweza kuongea vitu vya ajabu ajabuMtu mwenye hasira ndio huongea ukweli bwashee ππ
Waulize mawakili wanajua hili
Tuambie Johnthebabtist wewe unafahamu nini?πΌ
Wakati Chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe au?
Kwani ndiyo kazi mnayolipwa kuifanya?Jamaa akuliwa boga kweli?
Ilianza kwa Dr Ulimboka.Legacy ya Magufuri katika utawala wake
Paulo Makonda aka Daudi Albert BASHITE,Amesema waliyomteka ni kina nani au stori tu zinaendelea
Maana wote tunajuwa alitekwa
Je alitekwa na nani!
Na nani aliagiza utekaji huo kwake
Ova
ππAseme mara ngapi?
Kwenye moja ya nyimbo zake anasema siku tatu amefungwa mikono NYUMA sasa zingatia neno NYUMA tena kwa siku tatu
Hahaha, we ungeweza?Aseme yotee, asifiche kitu. Ili umma ujue kinaga ubaga ya watekaji. Lol
Hahaha, we jamaa fala sanaAseme mara ngapi?
Kwenye moja ya nyimbo zake anasema siku tatu amefungwa mikono NYUMA sasa zingatia neno NYUMA tena kwa siku tatu
ππππ aseme tyuuh bhanaHahaha, we ungeweza?
Kama kuna kitu unataka kuhakikisha hivi, na hawezi kusema