Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Ila sijaskia alipomtaja kwenye huo wimbo
Ndio yanalipa.Waziri anataka waimbe Mambo ya Sodoma hatar isana.
Muziki na digrii wapi na wapi mbona Michael Jackson hakusoma na alikuwa anajulikana Dunia nzima.Mwambieni Mwakyembe atulie sindano imuingie vizuri hadi mwisho.
Yanamlipa msanii au waziri?Ndio yanalipa.