Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Kauli hiyo kama ni mwakyembe ametoa basi amekosea sana...angenyamaza tu tunahitaji busara na hakima zake kama mzee ...Nina mashaka sana kama nmeongea hivyo au mitandao imeamua kumchafua waziri .

Sabatho njema nawe mleta mada .
 
Kauli hiyo kama ni mwakyembe ametoa basi amekosea sana...angenyamaza tu tunahitaji busara na hakima zake kama mzee ...Nina mashaka sana kama nmeongea hivyo au mitandao imeamua kumchafua waziri .

Sabatho njema nawe mleta mada .
Amina!
 
Pole sana
 
Hapa naona tupo kwenye kipengele cha Fani ambacho ni Kufaulu na Kutofaulu kwa mwandishi
 
Hapa naona tupo kwenye kipengele cha Fani ambacho ni Kufaulu na Kutofaulu kwa mwandishi
 
Hiyo sio hoja unaweza ukapasua hiyo GPA kubwa lakini bado tu ukawa mjinga.

Wewe in your perspective, unaweza ukamuona wa maana lkn mwingine akamuona bogus. That's normal.

Ila kwa uzoefu uliyozoeleka, msomi yeyote akiwa ccm kamwe he can't excel kwani hutakiwi kuonekana unashamiri kuliko m/kiti kwa kila kitu. You must toe the party line.
 

..mna-panic bure tu.

..Roma amemsifia Jpm kwa kukusanya kodi, na kujenga flyovers.
 

Kama ana elimu isiyohitaji ushauri mbona alipigwa sumu?

Wakati mwingine hata "house girls" anaweza kushauri kuhusu maisha.

Mfano anaweza kukwambia unapokwenda semina, kuna uncle huwa anakuja kulala chumbani mwako.
Au akakwambia chakula fulani husile mama kaweka sumu na ukapona.
 
Kwani kufundisha vyuo vikuu ndo kuwa na akili? aliyesema kaokotwa jalalani hakuwa professor wa chuo kikuu kabla ya kuokotwa? Huyu ahurumiwe tu.
Huyu hayuko sawa tangia walivyompakaza sumu, ndio mana kila pahara hafit. Kaletwa huko kwa wasanii nako shida akijaribu kutetea ugali kwa kumlizisha jiwe. Afadhali angesimamia vile alivyokariri huko kwenye digrii zake kama anakumbuka ingemsaidia
 

Hivi wasomi wakiingia kwenye siasa wanakuwaga wajinga?
Basi kama ana digrii 4, atunge basi wimbo tuusikie.
Si kila kitu ni elimu ya darasani. Kuna elimu nyingi tu ambazo watu hawajifunzi katika mfumo anaoufikiria huyo waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…