Kwani Roma kamtaja Mwakyembe?Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Hakuna mhandisi wa umeme asiyeweza kuzalisha umeme huo kama vifaa viko provided ila ungesema hawafikirii kufanya hivyoUmenena vema sana. Asante kwa andiko hili zuri.
Bahati mbaya sana, Tanzania tuna wasomi wengi sana lakini wengi wao wamekosa akili, wamekosa maarifa, wamekosa ubunifu.
Usomi wao umekuwa wa kupambaza akili zao. Wengi wao mchango wao kwa jamii, ni afadhali hata wale ambao hawakwenda zaidi ya darasa la saba. Hawa ndiyo huwa nagombana nao kazini. Wanataka walipwe mshahara mkubwa kwa vile wamekaa miaka mingi darasani kuwazidi wale ambao walikaa miaka michache lakini output yao ina manufaa makubwa kwa kampuni kuliko vilaza waliolowea madarasi kwa miaka mingi.
Kwa umri alio nao Mwakyembe, kama haujui huu ukweli uliouandika, tusitegemee atakuja kuujua maisha yake yote. Tumdharau tumpuuze. Anayestahili heshima na sifa kubwa katika jamii ni yule maisha yake yanawasaidia walio wengi kifanikiwa na siyo vinginevyo.
Walio wasomi wajiulize, wanechangia nini katika ustawi wa hamii na Taifa kwa ujumla? Wanaweza kutenda nini kuwazidi wengine? Wapo maprofesa wa biashara wasioweza kuanzisha hata genge linaloweza kubadilika na kuwa duka na baadaye supermarket. Tuna wahandisi wasioweza kutengeneza umeme hata wa 10kVA. Hivi hawa wana elimu kumzidi Owagu wa Njombe aliyeishia darasa la pili lakini ameweza kutengeneza umeme wa kutosheleza kijiji kizima?
Sasa hizo degree 4 zimetusaidia nini mbona ndo limekuwa lipumbavu!Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Tumsamehe Mwakyembe, kigogo anasema jamaa alipitia vipindi vigumu sana na pia kigogo anasema jamaa anatumia mbaazi(no stigma) inaonekana akili yake haipo vizuri.Hivi wananchi wa Kyela walivyokukataa hadi ukatangazwa kwa Mabomu hawakujua kwamba una degree 4 ? halafu inakuwaje mwenye degree 4 asubiri hadi msiba wa mkewe ili achonge barabara ya kwenda kwao ?
Siku zote nasema CDM ina watu smart! Angalia alivyoandika kwa mantiki kubwa! Nani CCM anaweza kuandika hivi! Namlilia Ben Saanane he was another Albert Einstein in the making!
Si watafute hivyo vifaaHakuna mhandisi wa umeme asiyeweza kuzalisha umeme huo kama vifaa viko provided ila ungesema hawafikirii kufanya hivyo
Mimi na mama yako hawala yanguPorojo hizi wewe na babako mnaziita akili, vijana wa ufipa ugoro utawauwa
State agent
Wabongo mmejaa wivu kwa PhD holders!!Kaonyesha udhaifu wa hali juu,sidhani kama wana Kyela bado wanahitaji huduma yake.
Ana PHD ya seria lakini alishindwa kuongoza wizara ya Sheria chupu chupu kutumbuliwa!Mwakyembe sasa umejulikana na sura yako halisi imejitokeza kwamba wewe ni mtu wa majivuno na majigambo.
Unapaswa ujue kwamba elimu ni maarifa ni kweli una elimu lakini huna maarifa na inawezekana elimu yako inakutesa mno, ivi hiyo imekusaidiaje au hapo ulipofika ndio kikomo cha elimu yako. Tunataka elimu itoe matokeo kwako mwenyewe na kwa wale unaowaongoza.
Bahati mbaya ambao mnayo nyie madokta wa Tanzania wengi hamna ubunifu hamna cha kuonyesha zaidi ya hizo PHD za ujanja ujanja.
Hayo majibu aliyotoa MWAKYEMBE ni ya kiwango cha chini mno.
Degree nne sio mchezo tuache utani,sio kila moja anaweza kusoma hivyo
Mwacheni mwakyembe ajidai
Kuwa na elimu ya darasani si Kuwa na akili."Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"
Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!