Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Unaweza ukawa umesoma ila hukuelimika. Mugabe wa Zimbabwe alikuwa na degree 7, ila angalia alivyo ifanya Zimbabwe.
 
Roma arudi shule jamani

Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika

Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Kwani Roma kamtaja Mwakyembe?
 
Umenena vema sana. Asante kwa andiko hili zuri.

Bahati mbaya sana, Tanzania tuna wasomi wengi sana lakini wengi wao wamekosa akili, wamekosa maarifa, wamekosa ubunifu.

Usomi wao umekuwa wa kupambaza akili zao. Wengi wao mchango wao kwa jamii, ni afadhali hata wale ambao hawakwenda zaidi ya darasa la saba. Hawa ndiyo huwa nagombana nao kazini. Wanataka walipwe mshahara mkubwa kwa vile wamekaa miaka mingi darasani kuwazidi wale ambao walikaa miaka michache lakini output yao ina manufaa makubwa kwa kampuni kuliko vilaza waliolowea madarasi kwa miaka mingi.

Kwa umri alio nao Mwakyembe, kama haujui huu ukweli uliouandika, tusitegemee atakuja kuujua maisha yake yote. Tumdharau tumpuuze. Anayestahili heshima na sifa kubwa katika jamii ni yule maisha yake yanawasaidia walio wengi kifanikiwa na siyo vinginevyo.

Walio wasomi wajiulize, wanechangia nini katika ustawi wa hamii na Taifa kwa ujumla? Wanaweza kutenda nini kuwazidi wengine? Wapo maprofesa wa biashara wasioweza kuanzisha hata genge linaloweza kubadilika na kuwa duka na baadaye supermarket. Tuna wahandisi wasioweza kutengeneza umeme hata wa 10kVA. Hivi hawa wana elimu kumzidi Owagu wa Njombe aliyeishia darasa la pili lakini ameweza kutengeneza umeme wa kutosheleza kijiji kizima?
Hakuna mhandisi wa umeme asiyeweza kuzalisha umeme huo kama vifaa viko provided ila ungesema hawafikirii kufanya hivyo
 
Elimu na kuelimika si lazima upate mashahada kibao - chukulia mfano mtu kama Bakhresa ana elimu gani ya vitabu lkn exposure aliyonayo na uelewa hawezi kutofautiana na maprofessa tena wa Oxford

Fine, Roma atakuwa hana elimu kubwa ya vitabu lkn mazingira yanayomzunguka yanatosha kumfanya aonekane kama Profesa wa Illinois nk

Lakini pia hata akianzisha chama cha siasa bado Dkt Mwakyembe ataamini yale atakayoibua kisiasa - suala la msingi ni kuvumiliana na kuchukuliana sababu watu tuna hisia tofauti na haitawezekana kuishi kwa kichwa kimoja

Sisi ni watanzania
 
Hivi wananchi wa Kyela walivyokukataa hadi ukatangazwa kwa Mabomu hawakujua kwamba una degree 4 ? halafu inakuwaje mwenye degree 4 asubiri hadi msiba wa mkewe ili achonge barabara ya kwenda kwao ?
 
Anaitwa Romaa Hakuna wa Kumstopisha,naniiii wa kumnyamazisha romaaaaa mwakyembe aache kuongea ongea,walimvunja dole la mwisho wakamuachia dole la kati........Anaitwa ROmaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
UNOTRENDIND.jpg
 
Roma arudi shule jamani

Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika

Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Sasa hizo degree 4 zimetusaidia nini mbona ndo limekuwa lipumbavu!
 
Mwakyembe sasa umejulikana na sura yako halisi imejitokeza kwamba wewe ni mtu wa majivuno na majigambo.
Unapaswa ujue kwamba elimu ni maarifa ni kweli una elimu lakini huna maarifa na inawezekana elimu yako inakutesa mno, ivi hiyo imekusaidiaje au hapo ulipofika ndio kikomo cha elimu yako. Tunataka elimu itoe matokeo kwako mwenyewe na kwa wale unaowaongoza.
Bahati mbaya ambao mnayo nyie madokta wa Tanzania wengi hamna ubunifu hamna cha kuonyesha zaidi ya hizo PHD za ujanja ujanja.
Hayo majibu aliyotoa MWAKYEMBE ni ya kiwango cha chini mno.
 
Hivi wananchi wa Kyela walivyokukataa hadi ukatangazwa kwa Mabomu hawakujua kwamba una degree 4 ? halafu inakuwaje mwenye degree 4 asubiri hadi msiba wa mkewe ili achonge barabara ya kwenda kwao ?
Tumsamehe Mwakyembe, kigogo anasema jamaa alipitia vipindi vigumu sana na pia kigogo anasema jamaa anatumia mbaazi(no stigma) inaonekana akili yake haipo vizuri.
 
Porojo hizi wewe na babako mnaziita akili, vijana wa ufipa ugoro utawauwa

State agent
Siku zote nasema CDM ina watu smart! Angalia alivyoandika kwa mantiki kubwa! Nani CCM anaweza kuandika hivi! Namlilia Ben Saanane he was another Albert Einstein in the making!
 
Huyo tangu alipoikataa "Thesis ya Phd yake nilimtoa maanani kabisa!.
 
Mwakyembe sasa umejulikana na sura yako halisi imejitokeza kwamba wewe ni mtu wa majivuno na majigambo.
Unapaswa ujue kwamba elimu ni maarifa ni kweli una elimu lakini huna maarifa na inawezekana elimu yako inakutesa mno, ivi hiyo imekusaidiaje au hapo ulipofika ndio kikomo cha elimu yako. Tunataka elimu itoe matokeo kwako mwenyewe na kwa wale unaowaongoza.
Bahati mbaya ambao mnayo nyie madokta wa Tanzania wengi hamna ubunifu hamna cha kuonyesha zaidi ya hizo PHD za ujanja ujanja.
Hayo majibu aliyotoa MWAKYEMBE ni ya kiwango cha chini mno.
Ana PHD ya seria lakini alishindwa kuongoza wizara ya Sheria chupu chupu kutumbuliwa!
Unaweza kuona uwezo wake wa kufikiri + elimu ya darasani havioani
 
Elimu ni maarifa, kuna kusoma ili mradi uonekane una shule kubwa + kwa Elimu yetu ya miaka iyo ,Elimu za akina mwakyembe ... Ndizo zinazofanya Leo hii Tunajikuta katika matatizo lukuki!!
Degree nne sio mchezo tuache utani,sio kila moja anaweza kusoma hivyo

Mwacheni mwakyembe ajidai
 
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"

Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Kuwa na elimu ya darasani si Kuwa na akili.
 
Back
Top Bottom