jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
Lazima atoe neno ili 'mr chato' ajue waziri husika kakemeea ila binafsi naona mh waziri kakubali nyimbo ni nzury sana ya kiharakati...ila ni lazima angetoa katazoo maana naye anaagizwaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchuro mtupu ,sisi ndo tunaompenda Roma kwakazi zake"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"
Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
[emoji23]digirii 4 hazifui dafu kwa ile kituHapa kuna mmoja mawazo yako mbali! Lugha ya picha
[emoji119]Na hapa ndo utamheshimu mwenyezi Mungu,
Mwenye elimu akijidai kuandika cv yake usoni ili kila mtu
aione atachafua uso na kuitwa kichaa.
Usomi unadhihirishwa kwa kile unachoifanyia jamii inayokuzunguka
kinyume na hapo mengine ni maneno matupu.
WEKENI huo wimbo unaomfanya waziri ajihisi kama BALOZI wa nyumba kumi 10
[emoji23][emoji23][emoji23] hii kauli ya JPMSaa Nyingine Viongozi Ninaowateua Hawawasiliani Hivi Ulishindwa Kumwagiza OCD Ampige Pingu Huyo Manager Wa Tanesco Alale Lockup
Wanaotuangusha Ni Wasomi!!!!
FfffI don't give a ****
WIVU upi hapo????kwani uongo??mtu una Phd tena ya sheria,unashindwaje kuongoza wizara ya sheria hapo tayari kuna shida brazaa huku unajisifu kwa wasio na hizo digrii 4Punguza wivu
Hyo nyimbo cjasikia bad
Point, just imagine eti na Magu kwa akili zile ni PHD holder.Degree 4 za kwenye certificate na thesis za kawaida sio za uvumbuzi hizo. Swala la kufundisha vyuo ni ku transform tu vilivyo andikwa na wengine una act as a media tu. Waliogundua hivyo vitu wasemaje sasa?
Mtu ambaye alikana Hadi thesis ya PhD yake iliyompa huo DR unadhani ana akili saqa sawa kwelihuyu mzee hana akili ina maana pamoja na madegree yake hajui kazi ya fasihi kweli?
Ww ni Mata******[emoji855]Huyo Roma naona amechoka kulala na mkewake..ni mpenda sifa za kijinga
Ila Mbona hamonaizi hana elimu ila kaimba siasa na meko kamzawadia a jimbo