Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Digriii nne amewai kuvumbua nini kipya??
Ama digiriii za kukariri kwenye vitabu?Unaweza ukawa na uwezo mkubwa wa kukariri lakini usiweze kuchanganua mambo!!
Ni haki ya Roma kikatiba kukosoa ile hali avunji sheria.