Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Tulioanzia Certificate mnatuzalilisha...Mungu anawaona.
 

Upo sahihi sana. Lkn pia mtoa mada hajakosea 100%. Kuna some truth ndani yake. Hasahasa kwetu tuliosoma zamani hizo.

Kwavile Mh Mwakyembe amejinadi na performance za darasani na siyo performance za kimaisha, kama kweli Mh alisoma HKL na alisoma zamani basi he wasnt the best of his era. Cz the best of his generation opted for other combinations.

NOTE: Performance ya darasani alizojinadi Mheshimiwa is inversely proportional to performance ya kimaisha.

Nukta.
 

Kuna tofauti kubwa kati ya Mtu aliyesoma Degree Nne zenye Mantiki na Tija katika Jamii na yule aliyesoma Degree Nne za Upumbavu, Ushirikina, Kupenda Ngono kwa Vibinti na Kujipendekeza Kisiasa / Kimaslahi.
 
Ndugu zangu elimu ya tz hata uwe profesa haina maana haiuzi!hebu niambie ni profesa gani ama phd holder gani ambae thesis yake hadi leo inatumika kukuza uchumi?yaani zao halisi linaloonekana kwa kugusa,kunusa na hela mfukoni?zote ni taka taka za karatasi za kuwashia moto!ujinga mtupu!!!wahitimu wa vyuo vikuu wanahangaika na bahasha mkononi!!!!
 
Mwakyembe alisoma na Lowassa.......... Dr Slaa alisoma na Membe

Sijajua Mbowe alikuwa na mwanasiasa gani shuleni!
Hawezi kujibu hilo , anajua m/kiti wao elimu yake.ataishia jikite kwenye mada ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…