Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Ngoja nikuambie kitu.
Kusoma HKL, HGL au PGM,PCM and so hakuwezi kuthibitisha kuwa wewe kichwani hamnazo au la. Huu ulofa upo shule za kata tu ambapo walimu huwachagulia wanafunzi wao combination kulingana na matokeo yao ya form 2. Shule niliyosoma Mimi wengi tu chemistry na physics form two tulipata A au B lakini tukaachana nayo tulipoingia form 3.

Upo sahihi sana. Lkn pia mtoa mada hajakosea 100%. Kuna some truth ndani yake. Hasahasa kwetu tuliosoma zamani hizo.

Kwavile Mh Mwakyembe amejinadi na performance za darasani na siyo performance za kimaisha, kama kweli Mh alisoma HKL na alisoma zamani basi he wasnt the best of his era. Cz the best of his generation opted for other combinations.

NOTE: Performance ya darasani alizojinadi Mheshimiwa is inversely proportional to performance ya kimaisha.

Nukta.
 
Haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa kiongozi wa umma , Kitendo cha Mwakyembe kujinadi hadharani kwamba anamiliki degree 4 kimeamsha ari ya wadau kutaka kufahamu zaidi shule alizosoma na alichosomea , yasemekana alianzia kwenye diploma ya uandishi wa habari baada ya matokeo yake kutomruhusu kuingia moja kwa moja chuo kikuu .

Anayelifahamu jambo hili aje na vielelezo .

Kuna tofauti kubwa kati ya Mtu aliyesoma Degree Nne zenye Mantiki na Tija katika Jamii na yule aliyesoma Degree Nne za Upumbavu, Ushirikina, Kupenda Ngono kwa Vibinti na Kujipendekeza Kisiasa / Kimaslahi.
 
Ndugu zangu elimu ya tz hata uwe profesa haina maana haiuzi!hebu niambie ni profesa gani ama phd holder gani ambae thesis yake hadi leo inatumika kukuza uchumi?yaani zao halisi linaloonekana kwa kugusa,kunusa na hela mfukoni?zote ni taka taka za karatasi za kuwashia moto!ujinga mtupu!!!wahitimu wa vyuo vikuu wanahangaika na bahasha mkononi!!!!
 
Back
Top Bottom