Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe kazi yako ni kuanzishia ligi watu sioNimeshamwanzishia ligi tayari.
Lowasa, Dr Slaa Membe na mbowe ulielewa huu uzi kabla haujachangia? Haya majina yametokea wapi ndani ya uzi usioyahusu?Mwakyembe alisoma na Lowassa.......... Dr Slaa alisoma na Membe
Sijajua Mbowe alikuwa na mwanasiasa gani shuleni!
Ahsante mkuu....... Tupo mkutanoni hapa kumsikiliza mkuu wetu wa mkoa!mkuu usichanganye mada , hata hivyo nakupongeza kwa uzinduzi wa kampeni
Hahahaaa....... Najazilizia CV ya Dr Mwakyembe!Lowasa, Dr Slaa Membe na mbowe ulielewa huu uzi kabla haujachangia? Haya majina yametokea wapi ndani ya uzi usioyahusu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna maneno makali....mnataka mwenzenu aitishe mkutano na waandishi wa habari atoe vyeti au akane degree zakeSio HKL kweli ? Hahahahahhah.Pia alianzia kusoma certificate ya unadishi wa habari. Kaunga unga weeeeeh. Kilaza tu yule.
Tunawashukuru sana Wainjilisti wa bahasha za khakiAhsante mkuu....... Tupo mkutanoni hapa kumsikiliza mkuu wetu wa mkoa!
Dr Malasusa tunaye hapa!Tunawashukuru sana Wainjilisti wa bahasha za khaki
Ngoja nikuambie kitu.
Kusoma HKL, HGL au PGM,PCM and so hakuwezi kuthibitisha kuwa wewe kichwani hamnazo au la. Huu ulofa upo shule za kata tu ambapo walimu huwachagulia wanafunzi wao combination kulingana na matokeo yao ya form 2. Shule niliyosoma Mimi wengi tu chemistry na physics form two tulipata A au B lakini tukaachana nayo tulipoingia form 3.
Huyu huyu anayeogoza dayosisi kwa mtutu ?Dr Malasusa tunaye hapa!
[emoji3][emoji3][emoji3]Ngwini wengi ndio huwa wanajiita 'mawakili wasomi',huwa nashangaa sana mtu aliyeshindwa 'MAGAZIJUTO' kujimwambafai mbele yangu.
Jiwe alisoma na nani hasa PhD yake?Mwakyembe alisoma na Lowassa.......... Dr Slaa alisoma na Membe
Sijajua Mbowe alikuwa na mwanasiasa gani shuleni!
Ngwini wengi ndio huwa wanajiita 'mawakili wasomi',huwa nashangaa sana mtu aliyeshindwa 'MAGAZIJUTO' kujimwambafai mbele yangu.
Haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa kiongozi wa umma , Kitendo cha Mwakyembe kujinadi hadharani kwamba anamiliki degree 4 kimeamsha ari ya wadau kutaka kufahamu zaidi shule alizosoma na alichosomea , yasemekana alianzia kwenye diploma ya uandishi wa habari baada ya matokeo yake kutomruhusu kuingia moja kwa moja chuo kikuu .
Anayelifahamu jambo hili aje na vielelezo .
Huyo ni wa idaraDr Malasusa tunaye hapa!
Tundu Lisu wenu mnayemsifia pia alisoma hiyo hiyo hkl arts, hivyo ni kilaza pia?
Hawezi kujibu hilo , anajua m/kiti wao elimu yake.ataishia jikite kwenye mada ha ha haMwakyembe alisoma na Lowassa.......... Dr Slaa alisoma na Membe
Sijajua Mbowe alikuwa na mwanasiasa gani shuleni!