Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ila Mbona hamonaizi hana elimu ila kaimba siasa na meko kamzawadia a jimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Kama kweli kayasema hayo, basi hayo ndo tunaita matumizi mabaya ya akili.
Hua najiuliza Kama hii ndo aina ya viongozi tunaowaamini kufanya maamuzi ya nchi, je nchi yetu iko salama kweli?
Natamani huu uzi uwe ni propaganda na isiwe kayasema hayo kweli .
Hapa waziri amechemka. Akili sio una phd ngapi akili niuwezo kujibu changamoto nakutatua matatizo."Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
We jamaa, kwani usipochangia kila uzi unaoletwa humu jukwaani utapungukiwa nini? Au ndiyo siku haitaingia! Hivi huoni unakidhalilisha chama na pia unamdhalilisha mwenyekiti wako!!
Alafu nilazima mkumbuke kijana anamlenga mtu mwingine kabisa wala sio hao tunawafhani. Sio waziri wala sio rais ila kuna mtu anamlenga. End"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Mtanisamehe watani zangu Wanyakysa hivi huyu ndo roll model wenu vileKama kweli kayasema hayo, basi hayo ndo tunaita matumizi mabaya ya akili.
Hua najiuliza Kama hii ndo aina ya viongozi tunaowaamini kufanya maamuzi ya nchi, je nchi yetu iko salama kweli?
Natamani huu uzi uwe ni propaganda na isiwe kayasema hayo kweli .
Mitume na manabii wa vitabu vya dini tunazoamini na kufuata hawakwenda shule yoyote. Ajishushae huinuliwa BUT ajiinuae hushushwa!"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
GPA za kumeza(Kukariri usiku mzima) kisha unatema kesho kwenye paper ndo kuwa na akili? Si huyu huyu aliyekana thesis yake showing kwamba hata alichokiandika mle either hakijui au aliandikiwaRoma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Tukana mkuu usiogope 😀😀😀Huyo waziri mbona hamshauri Harmonize aanzishe chama cha siasa na Nandy?? Au wao hawajaimba siasa?, natamani niporomoshe bonge la tusii
Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Tukana mkuu usiogope 😀😀😀
😀😀😀Sheria inanibana mkuu, wacha nitukane kimoyomoyo