HALCYON311
Member
- Aug 23, 2014
- 27
- 20
mtu anaejisifia elimu na vitu kama izo ni limbukeni .. bora ujisifie uzoefu tutakuelewa! Nonsense 🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hila hawa vijana wanapopata vijisenti kutokana na Sanaa yao na kuanza kujiona wanajua bila kujua mipaka ya nini waseme na nini wasiseme sijui wanakwama wapi? Nadhani ni kutokana na kukosa elimu au malezi! Wanaropoka maneno mazito bila kujua madhara! Nchi inaongozwa na serikali na katiba na miongozo na kanuni. Hawa vijana wakishabugia mabangi na kupandwa na mizuka wanajiona wako juu ya serikali na viongozi wetu? Wanahitaji ushauri nasaa
Nimeishia lasaba mkuu,ila huu upupu wa Waziri siwezi kukubaliana nao,na sio mara ya kwanza kuropoka,huko wizara ya michezo alihamishiwa baada ya kuropoka kwamba huwezi kufunga ndoa bila kuwa na Cheti cha kuzaliwa huku akijua asilimia kubwa ya watanzania hasa vijijini hawana hivyo vyeti,naona anarudia makosa.Wewe unazo ngapi mkuu?
kwa hiyo harmonize na Nandi wale wanaosifia juhudi za JIWE ndio wanaofaa au sio?Hila hawa vijana wanapopata vijisenti kutokana na Sanaa yao na kuanza kujiona wanajua bila kujua mipaka ya nini waseme na nini wasiseme sijui wanakwama wapi? Nadhani ni kutokana na kukosa elimu au malezi! Wanaropoka maneno mazito bila kujua madhara! Nchi inaongozwa na serikali na katiba na miongozo na kanuni. Hawa vijana wakishabugia mabangi na kupandwa na mizuka wanajiona wako juu ya serikali na viongozi wetu? Wanahitaji ushauri nasaa
Amekwambia anataka utajiri?Wape. Waambie ukweli. Kushabikia ujinga hakujawahi kumtoa mtu. Wasanii wote waliotajirika dunian sio wale waliochanganya siasa na sanaa. Wasanii wote dunian kote waliojaribu kuchanganya siasa na sanaa waliishia kubaya sana.
Sanaa haijawahi kuchanganywa na siasa na ikabaki kuwa sanaa.
Mnavochangia jaribun kuwa real kwenye reality. Sio kushabikia vitu ambavyo havijawahi kuwa positive hapa dunian.
Ila Harmonize yeye aimbe?Roma aachane na siasa aimbe mambo mengine awamu hii inafanya vema sioni kwa nini kelele za kupinga ziwe nyingi hivyo bila shaka AMENUNULIWA huyo Roma