Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Huyu Mzee kanivunja mbavu
Screenshot_20191116-075716.jpeg
 
Ni digrii nne tu mwanaadamu zinampa kiburi/jeuri na dharau iliyovuka mipaka.Ameshasahau kwamba katokana na manii tu;maji dhalili Kabisa na hiyo elimu inayomtia kiburi katunukiwa tu na Muumba.Huyo mwanaadamu;kiumbe anayeshangaza zaidi kuliko viumbe wote.
 
Nijuavyo mimi wanasiasa na wanaharakati wengi wenye mafanikio wakiwemo wasanii ni wale wenye elimu ya kawaida kabisa.

Angalia elimu za wanasiasa waliowahi kupata umaarufu mkubwa na kusikilizwa kama Sokoine, Kawawa, Mrema aliyepewa hadi uNaibu Waziri mkuu, Lowassa, Rostam Aziz na wengine wengi hawana hizo degree 4 lakini wamefanya mambo makubwa kuliko Le Mutuz mwenye degree 7 na wote wakiwa CCM.

Muangalie msanii Diamond mhitimu wa shule ya msingi pale Tandale hata akiingia bungeni PhD zote zinasimama kumpigia makofi.

Watu wenye ujasiri hawahitaji elimu kubwa isipokuwa wale waliopungukiwa karama ya ujasiri.

Waangalie vijana wote wanaowika sasa ndani ya CCM na hata Chadema elimu zao, utafurahi na roho yako.

Niwatakie Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hapo ndio utajua makaburu na Trump walikuwa Sawa khs sisi watu weusi Dkt Mzima mwenyewe Phd mawazo yke ndio hayo sasa wanataka kutupangia mpk cha kusikiliza ntaendelea kuamini Berlin walikuwa sahihi waje tna kugawana mambo kuongoza watu weusi atuwezi...
 
Hila hawa vijana wanapopata vijisenti kutokana na Sanaa yao na kuanza kujiona wanajua bila kujua mipaka ya nini waseme na nini wasiseme sijui wanakwama wapi? Nadhani ni kutokana na kukosa elimu au malezi! Wanaropoka maneno mazito bila kujua madhara! Nchi inaongozwa na serikali na katiba na miongozo na kanuni. Hawa vijana wakishabugia mabangi na kupandwa na mizuka wanajiona wako juu ya serikali na viongozi wetu? Wanahitaji ushauri nasaa
 
Tatizo kubwa la nchi hii tunadhani kila aliyeenda shule/chuo kaelimika.Na pia tunadhani kila msomi (kama kweli kaelimika) anaweza kuwa kiongozi.Uongozi ni karama/tunu kutoka kwa Muumbaji.Sasa watu wa sampuli ya huyo bwana wamepata uongozi 'accidentally' maana hana sifa ya uongozi kwa Sababu digrii zake hazijasaidia kujitambua.
 
Wengi walio soma kichwani amna kitu, ndo ambao wanasumbua taifa uongozi ni karama na si cheo.
 
Hila hawa vijana wanapopata vijisenti kutokana na Sanaa yao na kuanza kujiona wanajua bila kujua mipaka ya nini waseme na nini wasiseme sijui wanakwama wapi? Nadhani ni kutokana na kukosa elimu au malezi! Wanaropoka maneno mazito bila kujua madhara! Nchi inaongozwa na serikali na katiba na miongozo na kanuni. Hawa vijana wakishabugia mabangi na kupandwa na mizuka wanajiona wako juu ya serikali na viongozi wetu? Wanahitaji ushauri nasaa

Hahhjaa hahaahaa hhahahah! ni wivu tu
 
Wewe unazo ngapi mkuu?
Nimeishia lasaba mkuu,ila huu upupu wa Waziri siwezi kukubaliana nao,na sio mara ya kwanza kuropoka,huko wizara ya michezo alihamishiwa baada ya kuropoka kwamba huwezi kufunga ndoa bila kuwa na Cheti cha kuzaliwa huku akijua asilimia kubwa ya watanzania hasa vijijini hawana hivyo vyeti,naona anarudia makosa.
 
Hila hawa vijana wanapopata vijisenti kutokana na Sanaa yao na kuanza kujiona wanajua bila kujua mipaka ya nini waseme na nini wasiseme sijui wanakwama wapi? Nadhani ni kutokana na kukosa elimu au malezi! Wanaropoka maneno mazito bila kujua madhara! Nchi inaongozwa na serikali na katiba na miongozo na kanuni. Hawa vijana wakishabugia mabangi na kupandwa na mizuka wanajiona wako juu ya serikali na viongozi wetu? Wanahitaji ushauri nasaa
kwa hiyo harmonize na Nandi wale wanaosifia juhudi za JIWE ndio wanaofaa au sio?

Acha uhuni wewe,Yesu mwenyewe hakukubalika kwa watu wote,Magufuli ni nani yeye akubalike na kila mtu. Fool!
 
Wape. Waambie ukweli. Kushabikia ujinga hakujawahi kumtoa mtu. Wasanii wote waliotajirika dunian sio wale waliochanganya siasa na sanaa. Wasanii wote dunian kote waliojaribu kuchanganya siasa na sanaa waliishia kubaya sana.

Sanaa haijawahi kuchanganywa na siasa na ikabaki kuwa sanaa.

Mnavochangia jaribun kuwa real kwenye reality. Sio kushabikia vitu ambavyo havijawahi kuwa positive hapa dunian.
Amekwambia anataka utajiri?
 
Bw Mwakyembe umesoma, hujaelimika. Usio kila elimu inapatikana darasani, na pia kuna rundo la degree hewa, degree fake. Walikuwepo kwenye idadi ya degree kuzidi ulizotaja, kina Tuntemekesanga, mini walizifanyia, labda jibu unalo. Japo haishangazi, viobgozi tulionao wengi ni wa sina hii, wakupenda kujikweza na kutafuta simple popularity.
 
Back
Top Bottom