Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Unaweza kuwa na akili kwenye fani ya sheria ila haikufanyi uwe na akili pia kwenye muziki
 
Kusoma sana sio kigezo cha kuleta changes kwenye jamii,kwa waafrika, wale waliosoma sana zaidi ya degree 2 ni waoga na wengi wao wamesoma hivyo ili waweze kusecure jobs zao, a person who wants to secure his job will be a puppet and will Fail to change the society.
 
Nimekuelewa!

Hata Ph.D za mjengoni humtumia Kibajaji ambaye ni mhitimu wa darasa la 4 kuwasilisha hoja zao.....wenyewe wanaogopa!
 
Sawa,ila huu uzi wako inaonyesha umesikia jambo kusuhu Mwakyembe au umesoma mahali sasa unaanza kumjibu na ume assume kwamba wote tumeshasikia hizo habari za Mwakyembe,kifupi ni kuwa story yako ina elea hewani,labda tu kwa wale ambao wanajua nini kinachoendelea....
 
Back
Top Bottom