Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

Fund man

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2021
Posts
4,230
Reaction score
5,734
Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha.

Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
 
Lakini mko tayari kupokea kitu kizito kutoka kwa Roma?
 
Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha.

Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
Ni kweli. Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa hili.
 
Sio aje aseme hajawahi kuwa mwanachama wa chadema na hana mpango wa kutunga nyimbo kutokana na hali halisi. Mwenzake nay wa mitego kamwaga manyanga kabadili mtazamo
 
Back
Top Bottom