Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Mhhh kama.hapa ni 2017 sasa 2020 itakuwaje najiuliza tuu
 
Hii chenga hii au mawazo yangu tu
 
Ndo hapo nashangaa majitu yanavyompinga as if yanamjua mamtu mengine bana
 
Mtoa huu uzi ameandika kama alikuwepo kwenye tukio nadhan ni wakati wa Max kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili watu kama hawa wasaidie kwenye uchunguzi
Kwani kuna uchunguzi unaendelea!! [emoji15] [emoji15]
 
hahahaha huyu jamaa kwa uongo hajambo yeye hujua kila jambo na yeye huwa kila mahala hapa kabadili tuu id
 
Sidhani kama Roma atafunguka maana nina uhakika atakuwa amechimbwa biti kubwa, lakini acha tusubiri tumsikie kama ataongea, asipoongea nitasubiri jumanne.. Mnakumbuka Dr. Ulimboka alivyokuwa na kelele, baada ya kusulubiwa akaachiwa sasa hivi kapiga kimya, hakuthubutu kufungua kinywa chake... Ngoja nisubiri
 
Mnapenda kuweka manibu kichwani hata kama hunui chochote, wasiwasi wa nn roma yupo atajibu, sio m
Ynavyofikilia ww ndio aongee akufurahishe, maisha ingekuwa tunatjmia memory card nadhani ungwmpa ya kichwa chako
 
Ney wa Mitengo kashalisanua huko

Tengemeeni majibu tofauti
 

Mbona sijaona jina la bashite au lile lengine kwenye uzi (Naona defensive mechanism)... Wacha nirudie tena kuusoma
 
Muanzisha uzi kashiriki from A to Z,japo hakupenda ila alikuwa akitii amri..

Jitahidini mfunge CCTV jamani la sivyo tutawalokotela mto Ruvu mkiwa ndani ya sandarusi
Ukifunga cctv halafu jamaa akavaa kama ninja cctv itasoma angalizo tu,kwa mange kimambi sio Tukuyu
 
Na hizi ID zenu za mwaka huu tutaona na kusikia mengi,wapi Lizaboni ?
 
Hivi kwanini UVCCM mnatetea hili suala la unyakuaji watu?

Mnamaslahi gani nalo au mnajua wanaohusika ni viongozi wenu kwahiyo hamtaki waaibike?
 
Tunajua mnajua mhusika wa huu mchezo mchafu.

Mpo hapa kumtetea kwa nguvu zote, mwisho wake utakuwa wa aibu sana.

Kabisa

Naona wanatumana kutunga mambo ili kuchafua viongozi. Wana watu nyuma yao wanajribu kila njia na watakwama tu.

Jana tu yeye na sijui maneja wametoautiana waliyosema. Na bado watu watanyooka tu

Nchi ya Magufuli hii, hakuna blah blah blah
 
Ha ha haaaaaaa

Wa madawa mnamtishia eeeeeh.

Mmeshaanza kutunga uongo, na bado mtanyooka tu.

Nchi hii viongozi hawatachafuliwa kwa sababu wtu wachache wana maslahi yao.

Mtanyooka tu.
"Watapatikana wote wanne wakiwa salama kabla ya jumaa pili" in BASHITE's Voice

Na kweli wakapatikana.

"Siwezi sema lini watapatikana hii ni kazi ya kipelelezi ukuniambia lini watapatikana maana yake najua walipo, nawajua watekaji, nilikubaliana na watekaji?

Kama kuna kiongozi kasema watapatikana kabla ya jumaa pili kamuulizeni yeye. In SIRO'S VOICE.

siku zote Mungu hadhihakiwi, hubainishia maovu ya watu bila wenyewe kujua km maovu yao yanabainika.

Lakini pia nikupe hongera sana kwa ujasiri ulionao wa kusapoti ubashite ulio wazi wakt wewe yumkinni ni msomi na una uelewa.

Pengine maslah yako binafsi ndio yanakufanya utetee ubashite uliodhahiri.

Nakusifu kwa moyo mgumu ulonao, wakusimamia batili wakati haki unaijua.

Mimi ni kada wa chama cha mapinduzi, tena mjumbe wa nyumba kumi. Lakini sijawahi kua mtumwa wa fikra, wakati nipo kwenye baeaza la katiba sikua mnafiki niliwaambia wana ccm wenzangu kua katiba si ya ccm, ikiwa tuifanya ndivyo sivyo ipo siku tutakua na viongozi wa hovyo itayutesa.

Nilikua na msimamo wa kipengele cha maadili ya watumishi na viongozi wa uma kuwa katika katiba kitu ambacho wana ccm walipinga kwa uelewa mdogo kwa hoja kua maadili ni vitu binavyo badilika.

Alipokua mzee warioba aliwashangaa waliokua na msimamo wa kupinga kipengele kile kisiwepo ktk katba.

Najaribu kukuoa picha ujue vp naijua ccm na ninaitumikia kiasi gani. Lakini abadani siwezi kukaa kimya au kutete upuuzi unaofanywa na vongozi wanaoitia doa ccm kua chama cha wajinga nooo never.

Wazazi walinipeleka shule ili niweze kupambanua mazingira.

Unless u do it for ur interest lakini usiwaone watu wajinga wanapopaza sauti kwa USHENZI UNAOFANYWA NA VIONGOZI WAPUMBAVU WASIOJUA NINI MAANA YA UONGOZ WAKADHANI MAMLAKA NI YAO TO THE END.


makonda oyeeeeeeeee. In yo voice
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…