Bastola Ione kwenye TV aisee ukinyooshewa live in picha hutakaa uisahau maisha yako yote............unatakuwa tayari kwa lolote ili mradi roho isitoke tuSifikirii kama atasema bayana ya yaliyomkuta.Kutishiwa uhai kubaya.
Aliimba .."leta defender!,leta wajeda !leta wagambo!..Roma nimejitoa muhanga...!"
Wamepeleka Noah tu,karudi ameufyata.Eti hawezi kuzungumzia tukio,utafikiri kuna kesi inayosikilizwa.
Unaweza kutoa usjirikiano na wakakuua, mara nyingi watu husema lakini inategema na mazingira option ya kukubakisha ni ndogo sana sababu wanajua ipo siku utasema.Mpaka sasa tushapata idea how these makirikiri operate,
kwanza wanakuapproach wakijifanya law enforcement ageng,
wakitaka ufatane nao kwa mahojiano,wewe utajua labda ni polisi,ila ukiwaomba kitambulisho ndo unaweza kuambulia makofi,then wanakuingiza ndani ya gari na kukuziba macho ili usijue unapelekwa wapi,
hawa watu watakuwa wame establish safe house ajili ya kuhojia na pengine hata kufanya toturing na either kuku disparch ili ukarutubishe ardhi,
sasa ukishafika huko kama ,wanakuhoji na kama hueleweki watakutesa na kukuweka mpaka wapate watakacho,
kama hutoi ushirikiano watakuwa na option mbili,either kukuua ama kuendelea kukuweka.
Kama umetoa ushirikiano watakuingiza katika kali ukiwa umezibwa usoni na kukudump sehemu lakini baada ya kuwa umepewa vitisho na yule mkulima vya kukufunga mdomo,
vitisho kama vile,"kijana usithubutu kusema haya yaliyokutokea ama sivyo yule mwanao anaesoma sant maria,yule mwanao kipenzi utampoteza,kama unaipenda family yako keep kwayat".
Mkatolic hana ujanja atakaa kimya
cc Mwigulu Nchemba.
Tega sikio usikie kinachoendelea ndani ya nchi unayo jiita wewe ni Waziri wa usalama wa ndani. Kisha jipime kama unatosha au mchukulie hatua huyo anayetajwa sana (ambaye sio siri tena na kaonyesha kuwa haogopi kitu) kila mahala kuwa anahusika.
Kuna faida gani kuwa waziri wa mambo ya ndani wa mshahara tuu huku usalama wetu ukikushinda kutekeleza? Au unadhani kazi yako ni kujibu maswali na kusoma Budget bungeni tuu?
uache kuishi kwa hisia ngoja atakuja mwenyewe na ataeleza kila kitu tusimsemee hapa ngoja aje ayeye mhusikaHuyu Mimi najua atakuja na blablaah kibao hapa, sitashangaa kukanusha kutekwa kwake..!
This country bwanah..![emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu njoo tu umwage mboga hapa maana sitarajii chochote kipya hapo.Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?
Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?
Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?
Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Wewe umeamini vipi in two options..???Mbona wanasema kuwa ni movie tu?
Wewe umeamini vipi in two options..???Mbona wanasema kuwa ni movie tu?
Wewe umeamini vipi in two options..???Mbona wanasema kuwa ni movie tu?
Wewe ndio utuambie ukweli umejuaje alipigwa virungu? ulikuwepo
Sasa umejuaje hatosema ukweli wakati yeye ndio anajua ukweli? Tatizo lenu tayari mna majibu yenu mfukoni sasa mnalazimisha Roma aseme hayo.
Ukweli ni ukweli tuu hata kama hauto wafurahisha kwa hiyo mtulie msilazimishe aseme myatakayo
Mwagika. kagoma kusema ukweli. Kapita kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?
Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?
Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?
Ole wako usiseme huu ukweli kesho.