Ha ha ha ha ha ila mkuu why mlimsindikiza jamaa mikocheni shilawadu je mlimuachia nani geti au mlikua easy, by da way unasalimiwa na bro domumeshamaliza kuwapa maendeleo familia yako ili hata ikitokea umepotea kwa muda tu au kimoja huku nyuma wasiwe na shida ya kimaisha?
umeshamaliza kuwapa maendeleo familia yako ili hata ikitokea umepotea kwa muda tu au kimoja huku nyuma wasiwe na shida ya kimaisha?
Mkuu watu kama nyinyi ndio mnasababisha kina MaxMello kulazwa selo. Tuiheshimu JF, tuithamini, tusiibadili kuwa kijiwe cha kusakata porojo na udaku. We cannot afford losing this precious platform kwa upuuzi wa watu wachache.
Ndio hatumpendi/hatumtaki Baxhite, lkn this is too much.
Majamba ziiii ndo hao wako kwa positions na still they are blessedHakuna baya lolote hapa nchini. Ninjtie wachacge manata wati wawafate ili kuweze kufikia malengo yenu. Unayoyaongea hayana tofauti na yule aliyeongea na wa kwao jana.
Mnaraka kuweka watu kwenye wasiwasi wa kutekwa huku mnayapanga ninyi.
Majambazi mbona hamuwaongelei na wanatenda mengi kila siku nchini kilakona!?
Mtanyooka tu
Safi sana,MPE za USOW
Nadhani pia watu softicated kama wewe hawahitajiki JF, hii ni forum ya whistleblowers, siyo ya kukufurahisha we we wala watawala, max mwenyewe anafurahia nyuzi kama hizi siyo zile ambazo ziko edited za kiDAB DAB
W
Nadhani pia watu softicated kama wewe hawahitajiki JF, hii ni forum ya whistleblowers, siyo ya kukufurahisha we we wala watawala, max mwenyewe anafurahia nyuzi kama hizi siyo zile ambazo ziko edited za kiDAB DAB
Vipi mkuu hawajamchoka sumu yoyote ambayo dawa wanayo hao watekaji/Bashite..??Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Safi sana,MPE za USO
Team Bashite yote ime panic
Sijui wanafikiri users wote Wa jf wako Tanzania
Kwenye video wakati anazungumza machache na kusema ataongea jumatatu alionekana anachechemea.taarifa zinaeleza alipigwa kaumia mguu na mkono.Kumbe kapitia kipind kigumu sana roma duuh
Nami naunganishaaa dotKwenye video wakati anazungumza machache na kusema ataongea jumatatu alionekana anachechemea.taarifa zinaeleza alipigwa kaumia mguu na mkono.
Mkuu hapo mleta mada alichokifanya ni kuweka baadhi ya hints kumfanya Roma ajue kwamba kile ambacho angeweza kukificha tayari kinajulikana, hivyo aweze kueleza ukweli. Mkuu, kwani unapata shida gani huyu jamaa akitoa hizo dondoo za yale "anayoyajua" na utapata shida gani kama akija kuyaweka wazi hiyo Jumanne, au hata angeamua kuyaweka wazi leo???Siwezi kuhoji ukomo wa uelewa wako lkn kwa haraka haraka ni kuwa wewe ndio una ubashite. Mleta mada kasema kuwa roma asipoleta ukweli yeye atauleta huo ukweli.
Kwanini ndani ya uzi huo huo aanza kuropoka kabla roma hajaongea??