Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
umeshamaliza kuwapa maendeleo familia yako ili hata ikitokea umepotea kwa muda tu au kimoja huku nyuma wasiwe na shida ya kimaisha?
Ha ha ha ha ha ila mkuu why mlimsindikiza jamaa mikocheni shilawadu je mlimuachia nani geti au mlikua easy, by da way unasalimiwa na bro dom
 
umeshamaliza kuwapa maendeleo familia yako ili hata ikitokea umepotea kwa muda tu au kimoja huku nyuma wasiwe na shida ya kimaisha?

Nimekusomaaaa...wewe mmmmmmmmh
Nimeanza kuona kitu fulani kwako

Ngoja nimeze mate kwanza, endelea kuandika basi napenda kukusoma.

Ukirudi kuleta uww nitag nisipitwe.
 
W
Mkuu watu kama nyinyi ndio mnasababisha kina MaxMello kulazwa selo. Tuiheshimu JF, tuithamini, tusiibadili kuwa kijiwe cha kusakata porojo na udaku. We cannot afford losing this precious platform kwa upuuzi wa watu wachache.

Ndio hatumpendi/hatumtaki Baxhite, lkn this is too much.

Nadhani pia watu softicated kama wewe hawahitajiki JF, hii ni forum ya whistleblowers, siyo ya kukufurahisha we we wala watawala, max mwenyewe anafurahia nyuzi kama hizi siyo zile ambazo ziko edited za kiDAB DAB
 
Kuzungumzia hii hoja ni upuuzi mtupu story ya kutunga na hii yote imesababishwa na dalili atakachoseama Roma sicho ambacho wapuuzi wengi wangependa kukisikia hizi porojo za kijiweni hazina faida yeyote hapa JF zipeleke kule kwa mange kunawapuuzi wenzako watadiscuss huu ujinga.
 
Hakuna baya lolote hapa nchini. Ninjtie wachacge manata wati wawafate ili kuweze kufikia malengo yenu. Unayoyaongea hayana tofauti na yule aliyeongea na wa kwao jana.

Mnaraka kuweka watu kwenye wasiwasi wa kutekwa huku mnayapanga ninyi.

Majambazi mbona hamuwaongelei na wanatenda mengi kila siku nchini kilakona!?

Mtanyooka tu
Majamba ziiii ndo hao wako kwa positions na still they are blessed
 
W


Nadhani pia watu softicated kama wewe hawahitajiki JF, hii ni forum ya whistleblowers, siyo ya kukufurahisha we we wala watawala, max mwenyewe anafurahia nyuzi kama hizi siyo zile ambazo ziko edited za kiDAB DAB
Safi sana,MPE za USO
Team Bashite yote ime panic
Sijui wanafikiri users wote Wa jf wako Tanzania
 
W


Nadhani pia watu softicated kama wewe hawahitajiki JF, hii ni forum ya whistleblowers, siyo ya kukufurahisha we we wala watawala, max mwenyewe anafurahia nyuzi kama hizi siyo zile ambazo ziko edited za kiDAB DAB

nashukuru kwa kunisaidia kunifundishia huyo mkuu nini maana ya jamiiforums na majukumu yake ni nini au yepi katika jamii.
 
Sasa hiyo script badala umpelekee 'ameze' ili kesho atiririke wewe umeleta huku.
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Vipi mkuu hawajamchoka sumu yoyote ambayo dawa wanayo hao watekaji/Bashite..??
Kwa makubaliano akisema ukweli watamuacha afe taraiiiibu..
 
Safi sana,MPE za USO
Team Bashite yote ime panic
Sijui wanafikiri users wote Wa jf wako Tanzania

wacha wadhani kuwa tunaotumia huu mtandao wote tupo huko kwenu wakati wengine huku tulipo tu tunayapata hadi ambayo wao waliopo hapo dar es salaam hawayapati. kama hadi tunaweza kujua nguo ya ndani atakayovaa kesho mtekaji mkuu wa akina mkatoliki ambaye anaishi masaki na anafanya kazi zake ilala boma kuna lipi litatushinda kulijua? tumeamua kujitoa kuwatetea watanzania na kumaliza hii aina mpya ya ujangili unaoota mizizi nchini.
 
Siwezi kuhoji ukomo wa uelewa wako lkn kwa haraka haraka ni kuwa wewe ndio una ubashite. Mleta mada kasema kuwa roma asipoleta ukweli yeye atauleta huo ukweli.

Kwanini ndani ya uzi huo huo aanza kuropoka kabla roma hajaongea??
Mkuu hapo mleta mada alichokifanya ni kuweka baadhi ya hints kumfanya Roma ajue kwamba kile ambacho angeweza kukificha tayari kinajulikana, hivyo aweze kueleza ukweli. Mkuu, kwani unapata shida gani huyu jamaa akitoa hizo dondoo za yale "anayoyajua" na utapata shida gani kama akija kuyaweka wazi hiyo Jumanne, au hata angeamua kuyaweka wazi leo???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom