Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?

Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?

Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?

Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Tomito njoooo utufumbue fumbo fumbo tulilofumbiwa maana unasema mtandao wako mpana sana Roma cjui ndo kasema huo ukweli au ameogopa we we njoo umwage ukweli mkatoliki wa ukweli usiye ogopa.
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?

Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?

Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?

Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Muvi iko "well planned" kwa wapenda udaku na bavicha ila watu wenye akili zetu tuko mbele kidogo ya huyu producer kiakili, pia mleta mada wenzip tuko steps kadhaa mbele yako in terms of kufikiria!
Haya matukio ndo kadhaa aliyoyaongea leo roma, kuna asilimia kubwa wewe ni part of the plan.
SHIKAMOO WAZEE WA NGADA, nimewakubali!
 
Walahi kuna vugu vugu baya inchini likisababishwa na mtu mmoja tu huku mkuu kabisa akiona sawa. So sad. Sidhani ndicho walicho tegemea wapiga kura wake.
Mapambano dhidi ya madawa ya kulevya hapa Dar vita itaendelea kuongozwa na 'jemedari' Paul Makonda, wazungu wa unga lazima wakae!
 
Muvi iko "well planned" kwa wapenda udaku na bavicha ila watu wenye akili zetu tuko mbele kidogo ya huyu producer kiakili, pia mleta mada wenzip tuko steps kadhaa mbele yako in terms of kufikiria!
Haya matukio ndo kadhaa aliyoyaongea leo roma, kuna asilimia kubwa wewe ni part of the plan.
SHIKAMOO WAZEE WA NGADA, nimewakubali!
Mbona babako anauza ngada, na ngada ndo ilokulea?
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?

Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?

Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?

Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Kesho ifike kashindwa kuongea ukweli ata kwa aslimia 10.....tupe A to Z..blaza
 
Mkuu @Tamato Tomato ni zamu yako sasa kutuambia ukweli wa mambo!
 
Tomito Tomato, kama mshikaji hakusema ukweli tufungue macho tuone simamia katika ukweli unaoufahamu
 
kabla sijaweka hadharani kila kitu hapa na nakumbuka niliahidi kuwa nitasema kesho ila sasa nitasema leo na muda si mrefu naomba kwanza wale members wote ambao hata kwa ushahidi tu wa post zao kwangu walikuwa wakipingana na maelezo yangu waniombe radhi kisha nataka wanijibu je nilichokiandika katika uzi wangu kimazingira kinatofautiana na maelezo ya awali ya mkatoliki wenu?

na nitaelezea pia ni kwanini waziri wenu mwakyembe alikuwa hapo katika press conference wakati mwenye huo mkutano alikuwa ni mkatoliki mwenyewe na sitoishia tu hapo nitaenda mbele hadi kueleza ni kwanini yule dada alikuwa akiharibu sana yale mazungumzo.

mlionikashifu huu ni wakati wenu kuniomba radhi ili sasa niwawekee wazi kila kitu watanzania na nitawaombeni mlio karibu na mkatoliki mwambieni asikae mbali na huu uzi kwani naenda kuweka kile ambacho ameogopa kukisema. kusanyikeni wote tafadhali mje mpate habari kamili muda si mrefu.
 
kwaniaba yao naomba msamaha, haya tiririka mkuu
 
Funguka mkuu wasamehe tumuahibishe shetani
 
Muvi iko "well planned" kwa wapenda udaku na bavicha ila watu wenye akili zetu tuko mbele kidogo ya huyu producer kiakili, pia mleta mada wenzip tuko steps kadhaa mbele yako in terms of kufikiria!
Haya matukio ndo kadhaa aliyoyaongea leo roma, kuna asilimia kubwa wewe ni part of the plan.
SHIKAMOO WAZEE WA NGADA, nimewakubali!
AU ndiye Roma mwenyewe!!!
 
kabla sijaweka hadharani kila kitu hapa na nakumbuka niliahidi kuwa nitasema kesho ila sasa nitasema leo na muda si mrefu naomba kwanza wale members wote ambao hata kwa ushahidi tu wa post zao kwangu walikuwa wakipingana na maelezo yangu waniombe radhi kisha nataka wanijibu je nilichokiandika katika uzi wangu kimazingira kinatofautiana na maelezo ya awali ya mkatoliki wenu?

na nitaelezea pia ni kwanini waziri wenu mwakyembe alikuwa hapo katika press conference wakati mwenye huo mkutano alikuwa ni mkatoliki mwenyewe na sitoishia tu hapo nitaenda mbele hadi kueleza ni kwanini yule dada alikuwa akiharibu sana yale mazungumzo.

mlionikashifu huu ni wakati wenu kuniomba radhi ili sasa niwawekee wazi kila kitu watanzania na nitawaombeni mlio karibu na mkatoliki mwambieni asikae mbali na huu uzi kwani naenda kuweka kile ambacho ameogopa kukisema. kusanyikeni wote tafadhali mje mpate habari kamili muda si mrefu.
Huyo choko naomba Mungu, mtoto wake hasije akarithi hata moja wapo ya tabia zake.
Nimemaliza kifuta nyimbo zake zote kwenye kila device yangu.
 
Hivi ni lazima ifike kesho!!!???, kama yaliyosemwa ni tofauti na aliyonayo mkuu Tomato ni wakati muafaka kuweka ukweli sasa, otherwise tupige KAZI TU.
Je kama tomato ni sehemu ya mpango huu, hilo umelipa nafasi ktk akili yako??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom