Roma: Mwanaume kuoga mwisho mara mbili

Unaposema "ANGALAU"(at least) mara mbili kwa siku; maana yake ni, kiwango cha chini kiwe 2 kwa siku.

Sina hakika kama mtoa mada ulitaka kumaanisha ANGALAU/WALAU!
 
Hata hiyo Mara mbili inaleta ukakasi,
 
SAWA.
 
Hizi ndo dalili za kuharibiana akili vijiweni kama vile mtoto wa kiume kuvuta bila bangi hujakamilika,mara madawa ya kulevya mara usile hiki au kile daah kuna watu ukiwasikiliza hutaishi kwa amani
 
Reactions: XDR
Kila mtu na maamuzi yake,kwani mtu unaoga ili uonekane na watu kuwa umeoga,?au ni usafi..ukipata mda wa kuoga hata mara Mia unaoga tu..
 
nyie hamjaelewa .anamsema mtu kwa mafumbo
inasemekana diamond anaoga mara tano kwa siku..dongo hilo limerushwa
tangu atekwe na kugundulika mond alikua closer na makonda..haziivi
diamond na roma hawaelewani tena!
 
Mm huwa siogi mpaka x- mass au mwaka mpya
 
Bora nyie mara 2 kwa siku mimi mara moja kwa wiki tena hapo nimeshajishauri sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…