Roma: Mwanaume kuoga mwisho mara mbili

Roma: Mwanaume kuoga mwisho mara mbili

Wanaume wa Dar bwana, hata Mara 2 unaoga ili iweje? Mi naoga mara 1 kwa wiki
 
Ukikaa maeneo ya baridi kali hata kuoga hakumbuki zaidi ya kunawa miguu na kichwa tu
 
Eeh unaoga asubuhi unapoenda kutafuta na jioni unaporudi...UNAWEZA OGA HATA MARA SABA KAMA UMESHIKWA NA TUMBO LA KUHARISHA NA UMEPANGA NYUMBA ZA USWAHILINI...HAPO HUNA BUDI KUJAZA KINDOO ILI KUZUGA KUNA JOTO KUMBE WAENDESHA ( USWAHILINI BAFU NA CHOO VIPO PAMOJA )...zaidi ya hapo huwezi koga Mara zote hizo..labda uwe na kasoro flani
 
STAA namba moja katika Hip Hop kwa sasa nchini, anayetamba na kibao na video yake ya Zimbabwe, Ibrahimu Musa a.k.a Roma Mkatoliki, amesema licha ya usafi kuwa ni muhimu, lakini mtoto wa kiume anastahili kuoga angalau mara mbili tu kwa siku.

Akipiga stori na Risasi Vibes, Roma alisema anapenda kuwaona vijana watanashati, lakini linapokuja suala la kuoga, kama ni lazima, basi angalau aoge mwisho mara mbili kwa siku, vinginevyo, inaleta ukakasi na kuondoa tabia za kiume.

“Kusema ukweli mwanaume kuoga angalau iwe mara mbili tu kwa siku, si vema mtoto wa kiume unaoga kutwa mara nne au tano, inaleta ukakasi na kwa upande wangu huwa namtazama mwanaume wa aina hiyo kwa jicho lenye maswali mengi ndani yake,” alisema.

Muungwana
Ukiona mtu kama huyu ujue utotoni mwake alikuwa mchafu kuoga.

Pia kwa sasa anaoga kwa sababu tu ya kukwepa aibu kutoka kwa mke ila kama angekuwa hajaoa kukaa bila kuoga angeona kawaida.

Kuendekeza uchafu kisa ni Me nazo Zilipendwa.
 
nyie hamjaelewa .anamsema mtu kwa mafumbo
inasemekana diamond anaoga mara tano kwa siku..dongo hilo limerushwa
tangu atekwe na kugundulika mond alikua closer na makonda..haziivi
diamond na roma hawaelewani tena!
Acha kumchafua diamond

Mondi amteke Roma kwa lipi haswaaa??
 
Nioge mara mbili kwani nalala na nani; khaa!! Aoge mara mbili yeye anayelala na mke!
This is a Baseless argument.

Kwako weWe unazungumzia uogaji baada ya kufanya ngono. Manake kua na mke na kuoga inahusisha zaidi na ufanyaji mapenzi not otherwise.

Which means wewe ni single unadhani ukiwa na mke utakua unafanya mapenzi Mara nyingi ili upate sababu ya kuoga Mara nyingi.
Huu ni uongo ambao hauko practical katika real life.

Unfortunately Roma anaongelea uogaji WA Mara kwa Mara, kwake anaona ukiwa mwanaume WA hivyo atakua anakutazama kwa jicho tofauti.

Kwa bahati mbaya sijakutana na mwanaume anayeoga Mara kwa Mara hivyo Sina cha Ku comment.
Ila simchagulii MTU namna anavyotaka kuoga.
Waoge tu.
 
Mfumo wa elimu wa Tanzania mapungufu yake yanaonekana kwa mengi sana.

Kuanzia kauli za Rais Magufuli ambaye anatakiwa kuwa na Ph.D mpaka kauli za Roma Mkatoliki anayetakiwa kuwa social critic.

Wote wana dalili za utapiamlo wa elimu.
 
hujanielewa..kasome tenaa
Umeongea kwa kuzunguka mkuu.

Na lengo lako haswa lilikuwa kumaanisha Makonda alishirikiana na Diamond kumteka Roma.

Kama halikuwa lengo lako hili basi bila shaka hilo bandiko ulilichomoa mahali bila ya kujua tafsiri yake.
 
pole
kama ulikua unafuatilia lile sakata la roma kipindi ametekwa na huku tunamtafuta..na yalokua yanatpkea kati ya mond na makonda utaelewa..but kama hukulifuatilia kaa tu kimya.
hatutaelewana
 
pole
kama ulikua unafuatilia lile sakata la roma kipindi ametekwa na huku tunamtafuta..na yalokua yanatpkea kati ya mond na makonda utaelewa..but kama hukulifuatilia kaa tu kimya.
hatutaelewana
Poa nimekusoma mkuu.
 
This is a Baseless argument.

Kwako weWe unazungumzia uogaji baada ya kufanya ngono. Manake kua na mke na kuoga inahusisha zaidi na ufanyaji mapenzi not otherwise.

Which means wewe ni single unadhani ukiwa na mke utakua unafanya mapenzi Mara nyingi ili upate sababu ya kuoga Mara nyingi.
Huu ni uongo ambao hauko practical katika real life.

Unfortunately Roma anaongelea uogaji WA Mara kwa Mara, kwake anaona ukiwa mwanaume WA hivyo atakua anakutazama kwa jicho tofauti.

Kwa bahati mbaya sijakutana na mwanaume anayeoga Mara kwa Mara hivyo Sina cha Ku comment.
Ila simchagulii MTU namna anavyotaka kuoga.
Waoge tu.
Acha upoyoyo wewe!!! Sio kila mada JF unaichukulia serious!!!

Btw, hivi wewe ni Ke au Me?! I thought you're ME! Kama ME, how come unasema hujakutana na mwanaume anayeoga mara kwa mara?! Hujakutana nae wapi?!

Kama ni KE, then and good
 
True! Hawa wenzetu tofauti na sie wa
wengine wakicheka tu au wakikohoa washachafuka lazma wakaoge sasa mtoto wa kiume ukizidisha lazima tuweke alama ya kuuliza mzima kweli???

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom