Kaamua kumtoa baada ya pressure kuwa kubwa alitaka amtoe usiku au kesho asubuhi kaona hali ni tete baada ya kusikia Tongwe wameleta mashehe toka pemba kuja kusoma Elibadili kaogopa kawatoa haraka.Duuh pumzi imeshuka bashite we kubwa la maadui kweli kabla ya jumapili lahaula [emoji122]
Tatizo ni upatikanaji wa huyo daktari,nikekumbuka ile ya Gwajima kuishiwa nguvu ghafla...naamini Roma hayuko sawa sawa.
Kweli hiki ki coco kinahusika sana, siyo kwa mapovu yake anayotoa hivyo!Bashite nouma, naskia alikuwa kamficha kwa Dada yake cocochanel ?
Alifichwa na kikundi binafsi cha Daud Bashite kaamua kuwaachia mapema leo baada ya kusikia Tongwe wanasoma elbadiliSawa. Unaweza kutuelezea imekuwaje Roma apatikane Polisi ilhali jana polisi walisema hawafahamu alipo?
vip protection,roma ni nani nchi hii??Ni heri kama amepatikana sasa inatakiwa baadhi ya public figures kama hawa wasanii nk kuwa na private guards walobobea kwenye VIP protection kwa usalama wao.
Duuuuuu safi sana watuletee kamanda wetuu halafu tuna turn back kwenye vyeti fake vya bashite au vp
Nchi Yangu eeeee..
Roma toka uje utuambiee wapi ulikuwa na kama umenyeshwa matango pori tutajuaa
Huu mpunga wa Makonda unaliwa kama alivyotangaza mwenye njaa aende kwa Edward Lowasa anagawa pesa za bure, sasa hivi mwenye njaa aende kwa Daudi Bashite anagawa pesa za bure.Babu tale kala mpunga wa Daud makonda kutengeneza movie feki kama mwenye vyeti feki.
Bashite alisema atapatikana kabla ya Jumapili.
Kwa tukio la kupatikana kwa Roma ni dhahiri shairi kuwa Bashite yupo nyuma ya mpango huu, na amefanya tukio kizembe mno.